Kuhamia Dodoma: JWTZ nao wafungasha virago toka Dar!

Uchunguzi wangu binafsi kwa baadhi ya watumishi wa Umma niliowauliza kuhusu uamuzi wa serikali kuwahamishia Dodoma, Asilimia 90 walisema ni MPANGO MBOVU.
Sababu zao za msingi zilikuwa ni hizi...
1/Hauna faida yoyote kwao au kwa taifa.
2/Haukufanyiwa maandalizi ya msingi.
3/Umeleta usumbusu mkubwa sana.
Kwa hiyo?
 
Back
Top Bottom