Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,315
Haihitaji ramli ya mganga wa kienyeji kulijua hili wala darabuni ya mwanasayansi kuliona hili.
SIASA ni watu kwahiyo kila mtu anayo haki ya kikatiba ya kusajili watu wowote ilimradi ni watanzaniaCCM imefanya mabadiriko makubwa sana hadi kufikia hatua ya kuwavua Uwanachama baadhi yao, Nimeshangazwa na baadhi ya Viongozi wa Juu kabisa Chadema kutamka haraka haraka kuwa wamefurahishwa na mabadiriko hayo na kuwakaribisha Chadema.
Je Chadema inakula matapishi yake baada ya kutangaza kuwa hawahitaji tena MAKAPI?
Je Chadema hawajitosherezi ?
Je Chadema inatabia ya FISI ya kusubiri mabaki ya mawindo baada ya Simba kula na kuyalamba lamba na wakati mwingine kudondoshea udenda kwenye mabaki hayo?
Hakuna anayebisha haki ya kikatiba, hoja hapa ni Msimamo wa viongozi wa juu wa Chadema waliwahi kusema hawahitaji tena MAKAPI. je wanakula matapishi yako?SIASA ni watu kwahiyo kila mtu anayo haki ya kikatiba ya kusajili watu wowote ilimradi ni watanzania
Hamna maana nyie. Kutwa kucha kuijadili CCM badala ya kuwashawishi Watanzania kuwa ninyi ni bora kuliko CCM. Mapungufu ya CCM sio ubora wenu.Huwezi amini kwa siku 2 watu wanatoka kifua mbele kwa tabasamu na kicheko eti wamefanya mabadiliko makubwa. Kwanini mabadiliko hayo tusiyafananishe na mgonjwa wa kichwa kufanyiwa upasuaji wa mguu!!!
Swali muhimu la kujiuliza, kwa siku za karibuni CCM imekosa mwelekeo na mvuto machoni pa watanzania. Je tatizo ni usaliti?, au wajumbe wengi wa mkutano mkuu? au Kufanya vikao mara nyingi zaidi?
Kama chama kinashindwa kugundua tatizo lake la msingi hakitaweza kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.
SIASA ni watu kwahiyo kila mtu anayo haki ya kikatiba ya kusajili watu wowote ilimradi ni watanzania
Hii chadema itawatoa roho CCM. Nilikuwa na mpango wa kuwapigia Chauma 2020 lakini hakuna namna ngoja nijisajili chadema inaonekana inawasumbua sana magamba
Kosa lao nini?mpaka wamefukuzwa?au kusema tuna imani na lowasa.CCM imefanya mabadiriko makubwa sana hadi kufikia hatua ya kuwavua Uwanachama baadhi yao, Nimeshangazwa na baadhi ya Viongozi wa Juu kabisa Chadema kutamka haraka haraka kuwa wamefurahishwa na mabadiriko hayo na kuwakaribisha Chadema.
Je Chadema inakula matapishi yake baada ya kutangaza kuwa hawahitaji tena MAKAPI?
Je Chadema hawajitosherezi ?
Je Chadema inatabia ya FISI ya kusubiri mabaki ya mawindo baada ya Simba kula na kuyalamba lamba na wakati mwingine kudondoshea udenda kwenye mabaki hayo?