Hata ungekuwa wewe sidhani kama ungekwenda hali ukiwa unajua kweli cheti sio chakoKutokana na ukweli kabisa kuwa Gwajima alitangaza hadharani kuwa ndugu Daud A. Bashite alinunua cheti cha mtu mwingine na kukitumia kujiendeleza kielimu na kubadilisha majina na kujulikana hivi leo kama Paul C. Makonda ambaye ni RC wa Dar es salaam ni kwa nini asikamatwe endapo kama nakala alizozitoa ni za uongo?
Kumekuwa na watu wakisema kuwa ni uongo na kutoa sababu kibao kuwa huyu RC anasingiziwa!
Kama ni kweli anasingiziwa Gwajima akamatwe kwa kusambaza nakala za uongo maana ushahidi upo, kisha huyu RC naye apeleke ushahidi mahakamani au wale wanaosema kasingiziwa!
Nawasilisha...
Makonda akiambia athibitishe hayo matokeo utampa cheti chako?
Nakupendaga bure kwa maneno yakoMakonda akiambia athibitishe hayo matokeo utampa cheti chako?
Ambavyo hafikirii mara 2 anaweza akakichukua.Kweli rc wetu aende tu mahakamani....mi nitajitolea kumuazima rc cheti changu
hata muimbe pambio haitakaa itokeeKwa kweli, kama ni jasiri na anajiamini aende..
Atapeleka aliyo nayo, yaliyomwezesha kufika mpaka chuo kikuu...Akamatwe apelekwe mahakamani halafu atakaepiga hayo matokeo atakuwa nani?.Akiambiwa kama sio yake ayalete yake halisi ataweza?.
Mwafaaaaa,hata mgalagale mlie mimi ndio Raisi.
IGP awajibike kwa kuruhusu jeshi la polis kusindikiza mtu anayeenda kufanya vuruguGwajima akishitakiwa basi bashite nae sheria lazima ichukue mkondo wake kwa kumchafua gwajima inshu ya Yule mama, vyeti feki,, kutumia jina la mtu mwingine, uvamizi wa kutumia silaha za moto n.k
Unaambiwa chenga ya gwajima, mtu flani haikabiYangu macho na makalio!