Kufanya mapenzi/tendo la ndoa na mzazi wa mwezi mmoja

Salam zenu wadau Naomba mnisaidie yafuatayo : _nawezaje fanya mapenzi na mke wangu (kajifungua an

  • 12

    Votes: 0 0.0%
  • 12

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
Fanya nae tu haina shida.. usimpo mbemenda mtoto huyo ni wako kweli... ukimbemenda mtoto ujue siyo wako huyo...
 
Teh japo ni story tu ila pia huijui vizuri, according to waongeaji kubemenda ni kwenda kufanya mapenzi na mtu mwingine ambae sio mzazi wa mtoto then huogi unamshika mtoto, inadaiwa kufanya hivo mama akimnyonyesha mtoto ataharisha, afya inazorota na bla bla kibao KITU AMBACHO NI UONGO TU

Hilo swala la kuoga ni muhimu tu ili kutokumshika mtoto na mikono/mwili mchafu ina jasho bacteria, mmetoka kushikana vidudu mikono michafu afu mnamshika mtoto sio vizuri ....hivo ni vema kuoga kwanza ila KUBEMENDA NI UONGO HAKUNA HIYO KITU
Nakubaliana na wew kwa asilimua mia mbili,,,waafrika tunachelewa kuendelea kwa imani za kipuuzi kama hizi..!!
 
Fanya nae tu haina shida.. usimpo mbemenda mtoto huyo ni wako kweli... ukimbemenda mtoto ujue siyo wako huyo...
Hakuna kitu kinachoweza kuathiri afya ya mtoto kinachoitwa Kubemenda kijana jiongeze acha kufikiri kama walivyofikiri babu zako..!
 
Kubemenda kupo kuna mtoto nilshumhudia aliyebemendwa utalia ukimuona pia inakuwa shida kumlea maana huwa hakui
 
Ila kaka jitahidi kuvumilia kidogo,yaani mkeo hajamaliza hata 40 unataka mzigo?mm kama mm hua namuacha miezi minne toka ajifungue ndio naanza kula mzigo.hebu vumilia kidogo.

Kubemenda mtoto wanadai inatokea pale unapofanya mapenzi na mwanamke mwingine then ukarudi home bila kuoga ukabeba huyo mtoto au mama wa watoto nae kufanya mapenzi na mwanaume mwingine then akirudi home anaendelea kunyonyesha mtoto,hapo ndio mtambemenda lkn km ni nyie kwa nyie hiyo haina shida.

Haya na maneno ya mitaani sujui kama ni kweli kisayansi wataalam watatujuza zaidi.lkn kikubwa jaribu kuvumilia apone vzr nyege gani hizo ulizo nazo?
Umeanza vizur ila hizo mwishon ni myth
 
Back
Top Bottom