Kufanya mapenzi kabla ama baada ya Ndoa, kipi bora?

Nauliza hivi sababu najua jukwaa hili tutapata muafaka wa hili jambo tukiweka kwa pamoja mawazo yetu katika jambo hili ambalo hua lina mkanganyiko katika mahusiano mengi.

Lakini je nauliza mapenzi ya dhati lazima yapimwe kwa zinaa? Naomba nitumie neno hilo kali mana ndilo linavyoitwa hivo katika Biblia kwa wanaokutana kimwili kabla ya ndoa. Au ngoja tu nipunguze ukal wa neno..je sex ndo kipimo cha mapenzi ya kweli?

Unakuta watu wawili mmekubaliana kabisa ..mwanaume amekubaliana na mwanamke kwamba wasubiriane.hadi ndoa ndipo watakapofanya sex ama tendo la ndoa mana wapo ndoani sasa,
lakini katika kusubiriana huko mmoja kati ya wapenzi hao anatembea na mtu mwingine, anakua na mahusiano na mtu mwingine na haichukui mda wana sex, lakini yule mpenz wako anaekupenda kwa dhati aliekuvumilia na ambae mlikubaliana kwa dhati kwamba msubiriane mana hio sex mtaenda kuifanya kwa nafas mkiwa kwenye ndoa, lakini wapi huyo unamuona sjui mshamba ama vipi ama hukumpenda ulikua unamtumia for your own selfish reasons ama sabab tu nyingine ambayo hazina mashiko, then huyo mwingine unamvulia nguo free kabisa mnafanya sex bila shida yoyote.

Badae matokeo yake mhusika ananogewa na mimba anashika anaamua kukuacha kabisa. Cases hizi zipo sana kwa wanawake na pia wanaume, na kwakwel inauma sana mana utafikiria kwamba through all that time alikufikiriaje ama alikuchukuliaje?

Kuna mdada mmoja mpenz wake alikua wamekubaliana kwamba April hii aje nyumban kujitambulisha, na situation ilikua kama hii nayoilezea kua walikubaliana wajitunze hadi ndoa ndio sex, lakin ghafla bin vuu jamaa kapita alipopita kampa.msichana mwingine mimba.

Mdada kachanganyikiwa na nyumban walikua wamejiandaa na ugeni mzito wa wakwe. Hamna kilichoendelea. Badae jamaa anasema alizidiwa, sasa najiuliza kama mtu uko na mpenz wako umezidiwa na unataka kwanini msiambizane tu, jamaa si angempa mimba tu mpenz wake?

Je kwani sex before marriage inakubalika kweli, na kwan ni kipimo cha upendo kweli? wanadai lazima upime sijui, kwamba mwenzangu yuko vipi, kwani amekua mchele? Na je vitabu vitakatifu vinasemaje?


Biblia inasema...Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe.

Sijui kwa wenzangu waislamu sijui katika kitabu chenu kitakatifu cha Quran kinasemaje kuhusu hili...mana lazima twende na maandiko sasa

Kama mfano mwingine mada flan imeletwa jukwaa hili, jamaa wamekubaliana na mpenz wake wa kike vizuri kwamba sex hadi ndoa, mwanamke akatambulishwa kwao, means mahusiano yalikua na muelekeo, kumbe mwanamke anafanya yake huku na kumvulia nguo mwanaume mwingine na mimba juu, na mipango ya ndoa iko katika hatua za mwisho, yule mpenz wake anaempenda kwa dhati akamuona mjinga, ndio jamaa anaambiwa akaanza kulia hadharani.

Msondo ngoma walisema ukiona mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo.

Tujadiliane hili kua nini hasa kinatokea ?? Ni mapepo ama nini?.ama kulogwa..!! Hivi upendo ama mapenzi ya kweli kabla ya ndoa yanaweza kupimwa kwa zinaa kweli???
Kabla hatuja mjibu mleta maada naomba tujiulize kwanza
1 .maana ya neno NDOA
2. Tofauti kati ya neno NDOA na neno HARUSI.
Karibuni wajuzi!
 
Mungu anaxema tuoane wote mabikira ukioa mwanamke aliye bikiriwa sio mmeo mke wa mtu kwani demu anavyo bikirwa damu inavyo Mara uume unavyo ingie ile damu mungu ndo anaichukua nakubariki name atakuwa ameorewa tayari mwanaume anaye mubikiri demu tayari akuwa ameowa kwahiyo kama umeoa used hujawai kumubikiri mwanamke yyote wewe bado hujaoa
Naona mada sasa imeanza kuongeza mwendo abilia fungeni mikanda jamani.
 
Hakuna mwanamke wa kukujibu hilo...ni wengi wameoa mwanawake Leo...wakati Jana kalala na bwana wake mwingine.....UKIINGIA na suala LA KUOA Mara nyingi hata kwao anafundishwa..ASIKUPE hadi UOE... wengi wakishatoa barua...WANAKULA halafu wanakimbia....Mimi yalishanikuta nikawa mjanja....Mfano unaambiwa MSICHANA bikira.....lakini sio bikira..na ushatoa barua...unadhani ukionja UTAOA?inabidi ufichwe ili NDOA ikishapita hata kama UTAKUTA SIO BIKIRA...basi ngumu kuacha...
 
hahahahaaaa! kuna watu wameshaanza kuchafukwa na roho hapa!
Edwin mimi sina maneno nataka tuwekane sawa na mwisho tukubaliane kwamba kinachofanywa kabla ya ndoa ni dhambi ya zinaa na sio maneno yangu bali yameandikwa katika vitabu vitakatifu
 
Hakuna mwanamke wa kukujibu hilo...ni wengi wameoa mwanawake Leo...wakati Jana kalala na bwana wake mwingine.....UKIINGIA na suala LA KUOA Mara nyingi hata kwao anafundishwa..ASIKUPE hadi UOE... wengi wakishatoa barua...WANAKULA halafu wanakimbia....Mimi yalishanikuta nikawa mjanja....Mfano unaambiwa MSICHANA bikira.....lakini sio bikira..na ushatoa barua...unadhani ukionja UTAOA?inabidi ufichwe ili NDOA ikishapita hata kama UTAKUTA SIO BIKIRA...basi ngumu kuacha...
Duuuh !! ...
wanawake hawawez kunijibu hili?
 
PATO8221
Bora akimbie hayo majibu ya mpaka ndoa mimi yananikera sana yani namtongoza akisema hapo hapo naweka makofi halafu najisalimisha kituo cha porisi
mkuu ndo hapo pengine ukakubal msubiriane tena sio kwa kumlazimisha mnaongea mnafurah kabisa ...kumbe huku nyuma ana plan B, wewe msubiriane, lakini kijeba mwingine twende kazi, mwisho wa siku unapigiwa simu ...eh bwana makalango mbona tumemuona shemeji anaolewa huku na mwingine
 
Kwa jamii na maisha ya sasa ni ngumu sana mpaka ndoa ndio usex. lakin co kwamba haiwezekan.. inawezakana mkavumiliana mpaka ndoa.. tatizo ni mitazamo imebadilika... na jamii iliyotuzunguka nayo imebadilika
Tatizo lipo kwa wanawake...mwanaume unaweza ukawa unamsubiri mwanamke pengine hadi NDOA...lakini kumbe kuna KIDUME kinamtafuna...kuna jamaa yng mmoja alikuwa na mchumba wake...wakapanga akimaliza chuo ndiyo wataoana...kilichofata mwanamke alirudi na mimba kubwa tu chuo....jamaa analia hadi leo
 
Back
Top Bottom