Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Hizi ndo hints;
1. Wengi wao wanahali mbaya
2. Wengi wao hawana ela
3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa
4. Wengi wao ni walalamishi.
5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili save elfu mbili.
Wadau hakuna kazi ngumu kama kudela na hawa watu.