Philomena3
JF-Expert Member
- Apr 24, 2024
- 1,421
- 3,466
Fanya observation ndogo 1.utagundua mazingira unayokaa kuna Ile hali ya kuridhika ya wale wazawa wa eneo Husika(maendeleo mara nyingi yanaletwa na watu wakuja)
2.Ubaguzi wa kazi pia unapokuwa unaishi mahali ulipozaliwa kuna Ile hali ya uoga inakuja automatically kwamba kazi siwezi fanya Ila ukiwa outside home Yani kuna ule ujasiri unakuja Yani hailali kazi na unafanikiwa
3.lakini pia utakuja kugundua ukifungua biashara maeneo ULIYOKULIA wateja wageni si wababaishaji kama majirani zako Ata kwenye maswala ya kukopa
Kitendo cha Kutoka mkoa wako au maeneo unayoishi kuna Ile hamasa uwaga inakuja unajikuta unapambana kwa hasira kama zote! 🤔
Watu wakigoma, wasukuma, wachaga ni mifano wanapoenda maeneo ya wengine kuna Ile amsha amsha lazima watachangamsha!
Kufanya maisha mbali na eneo ulipozaliwa ni muhimu sana (tumeumbwa ili tuizunguke hii Dunia hii)
sio historia ya marehemu inasomwa(alizaliwa hosptali ya urambo, akasomea urambo, akapata kazi urambo, akaoa urambo, umauti ukamkuta urambo🤣atazikwa urambo)
Ata maandiko yanasema "
"utamuacha baba na mama yako na utaambatana na mkeo
( kumbe Ata maandiko yanataka uhame maeneo unayoishi)
N.Bruksa kukosoa
Naomba kuwasilisha
Huenda sometimes hufanikiwi kwa sababu umekariri na umekalia eneo moja tu