Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo.
Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake. Nahii inatokana na sera na mienendo ya Dunia kubadilika aka geopolitics. Baraza la usalama wa Taifa linapaswa kujiandaa na kuwaanda wa Tz kwa uchaguzi unakuja pamoja nakuweka makongamano yatakayo gusia uchaguzi pamoja na sera za uchumi wa Dunia ili watanzania wajuwe mbivu na mbichi.
Mwl Nyerere aliwahi sema hasara ya mtu mjinga ktk uzalendo wake kwa Taifa akasema ni hatari ikiwa wa Tz watakuwa hawajuwi sera na mienendo ya Dunia kwa sababu wanaweza chukuliwa na upepo wowote jambo laweza kuwa msumari wa moto kwa utaifa wetu.
Vipo vyama wana mgombea wao na wanapiga debe twende na Fulani lakini uwenda Baraza la usalama tayari mnaona kwenda nafulani miaka 5 itakuwa ngumu zaidi namnaona base on intelligence analyst twende na Fulani wananchi hawajuwi wala hawana wazo kama Hilo... Nihatari sana
Kama nilivyosema awali siasa za Dunia zimebadilika sana kumpata kiongozi wa Taifa nimchakato mzito sana sio hisia, wala sio mapenz au ukada. Tukienda na ukada ktk zama hizi basi tusije jujilaumu kesho. Serikali zinajengwa kwenye misingi takatifu ya usalama wa Taifa, jeshi na idara nyeti za Siri. Inamanisha kwamba ktk misingi hiyo magemedari wa Kuu wa jeshi wanakuwa wamepita ktk moto wala sio will ya mtu au kikundi cha watu.
Kama Taifa 2025 itaamua miaka mitano mbele ya dunia na watanzania tuepuke sana hisia na uchawa. Samahani kama tunaona Kuna mtu yupo kwenye mfumo wetu na kazi yake ni Nzuri apate nafasi na kuwezeshwa mbele ya jamuhuri. Nje ya hapo tujiandae mbele ya dunia kujitetea pasipo mtetezi😭🤔🙏