Kuelekea siku yangu ya kuzaliwa naombeni mchango

Mimi na habari za Birthday hamna tu..
Sinaga time nazo kabisa. Ni mambo ya kitoto. Mambo ya kike. Mambo ya Kikuda.

Mwanaume mzima kushadadia Happy Birthday ni Hulka za kike hizo.
Yaelekea ww ni injinia wakufuga nzi.

yaelekea umecoment bila kusoma mada yenyewe umesoma kichwa cha habari.
 

Ni wazo zuri na nikupongeze tu kwa hilo ILA tukumbuke kuwa Watoto Yatima wanahitaji msaada wa hali na mali wa kila siku na siyo wa once in a while ambao wengi wetu ' hujitutumua ' kuufanya.
 
Ungeweka hiyo tarehe ya birthday kabisa ili wadau waangalie ratiba zao.
 
Kwa umri huo bado unasherekea siku yako kuzaliwa mkuu.?
HBD mkuu .............tuonane mwakani
 
Wazo lako ni la msingi.kama hatuwezi kuwasaidia,tusiwakashifu.kila la kheri.
 
Ni wazo zuri na nikupongeze tu kwa hilo ILA tukumbuke kuwa Watoto Yatima wanahitaji msaada wa hali na mali wa kila siku na siyo wa once in a while ambao wengi wetu ' hujitutumua ' kuufanya.

TENA WENGI WAO HUENDA NA KAMERA NA WANAHABARI UCHWARA ILI TU WAPEWE CREDIBILITY KWA KUJITANGAZA KUWA WANASAIDIA YATIMA,

WAKATI MSAADA WA DHATI HAUANIKWI HADHARANI.
 
Wapo watoto yatima waliotupwa na ninyi wadada/wanawake. Mkiacha michezo mibaya kabla ya ndoa tatizo litapungua hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…