Kuelekea Euro 2016: Timu zipi unazipa nafasi ya kufanya vyema?

Mechi 51 magoli 108 na wiki 4 za Euro 2016 kwa kweli tumefaidi.

Karibu Euro 2020 ni zamu ya Belgium.
 
PNC 1 kapotea gafla kwenye michongoma ila Jecha atatufahamisha kapotelea wapi?
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    451.4 KB · Views: 41
  • image.jpeg
    image.jpeg
    471.3 KB · Views: 46
Man hizi kamera za waandishi ni nyingi. Yaani ukiziiba zote hizi unajenga nyumba ya maana Mbagala
 
Yaani huyu mnyamwezi kuna moja alinipigia ya hatari nikasema kichaa huyu atatuliza aiiii hata dakika 3 hazijaisha akaniliza kweli,big up mnyamwezi.....

Huyu Eder anachezea timu ya Swansea City ya Wales.

Lakini kuna siku Swansea walifungwa na timu ndogo ya Oxford City na kutolewa kwenye kombe la Carling Cup na wapenzi wa Swansea City wakamsema sana jamaa.

Lakini leo si umeona jamaa akitumia vizuri ugali anaokula?

Kachukua mpira na Koscielyn kashindwa kumdhibiti na akawa kama amepukutwa (kwa kiingereza "to shake off") hivi na mara chuma!
 
Napenda kuchukua fursa hii kwanza kufuta kauli yangu kuwa fainali iliisha siku ya France na German kumbe leo watoto wa Eusebio the great wamekuja kivingine.
Pili niwatake radhi wote ambao kwa namna moja au nyingine walikwazwa na kauli yangu hiyo na mwisho niwape pongezi wareno wote wa mbagala samvula chole msangangongere nanjilinji itabagumba mimi ni mwengereza wa tandale.
 
Mussolin5 tunakushukuru kwa kuanzisha hii Page ila na uhakika wengi wetu hatukuchagua Ureno toka mwanzo ukianza kuanika utabiri wa watu humu si chini ya watu 3 wamepatia?? mie sikumuhesabu kabisa Ureno pia nimo.
 
Back
Top Bottom