Kudhoofishwa kwa Dkt. Slaa, Mbatia, Zitto Kabwe, Kafulila na wakina Mdee kumedhoofisha sana upinzani

Mdee na Zitto ni tamaa zimewaponza
Hivi kwanini chadema wengi Wana hasira sana na zitto pamoja na mdee?!!!!! Yaani slaa aliyetoka wakati wa mbio za uchaguzi kabisa hata hatajiwi. Mashinji aliyekuwa katibu mkuu kabisa pamoja na wenzake kina lijualikali, kitila na mamia wengine kimyaaa. Ila zitto tu Kila siku.
 
Mkuu dawa ya mbwa mwenye njaa ww mpatie nyama akika utaskia akisumbua ataishia kubweka knafk ili aendele kuamnisha yy n mkali
 
Fanya utafiti ni kwanini wanatajwa
 

..hata Mama Abduli alipata zero form 4 lakini leo mmemkumbatia, mnadai ni msomi na ana akili kuliko Watanzania wote.
 
..hata Mama Abduli alipata zero form 4 lakini leo mmemkumbatia, mnadai ni msomi na ana akili kuliko Watanzania wote.
Ni wewe unasikiliza umbeya wa kilaza Lema ,sisi tunaleta fact hapa (Lema alifeli kidato cha nne) ndio maana shauri ya akili ndogo ni kufuatilia familia za watu badala ya kuuza sera za chama.
 
Ni wewe unasikiliza umbeya wa kilaza Lema ,sisi tunaleta fact hapa (Lema alifeli kidato cha nne) ndio maana shauri ya akili ndogo ni kufuatilia familia za watu badala ya kuuza sera za chama.


..nimemsikia Mama Abduli mwenyewe akisema alipata zero form 4 ikabidi afanye kazi ya masijala Unguja.

..Mama Abduli ndiye Mwenyekiti mwenye matokeo mabaya ya kipato cha 4 kuliko wengine wote wa vyama vya siasa hapa nchini.
 
Hiyo kitu unayotumia acha utavaa chupi kichwani, CHADEMA ni nani na Lissu ni nani yuanzie hapo kama bado hujavuta bangi zako
 
Sio kweli wasiokuwa wasomi ndani ya chama (Mbowe,Lema,Sugu,Mdude ) hawataki wasomi hata kidogo.
Labda na kiungo unachotumia kufikiria kina walakini maana siyo ubongo, yaani kwa usomi wa Mdee ndio CHADEMA ikamwambia aende akajiapishe kuwa mbunge kwenye gereji ya magari kinyume na katiba na kanuni za CHADEMA na nchi?

Pili wasomi wa CCM wamesaidia vipi kutatua changamoto za nchi ikiwemo hii kubwa ya utekaji na mauaji
 
Kuna ukweli fulani kwa asilimia kubwa unavyosema. Lakini wapo binadamu wanaojali maslahi ya Taifa, kama Nyerere, Mandela, Malcolm nk.
 
Lissu ni msomi mzuri saana ila mdomo wake umekosa nidhamu (anaropoka saana) .
Kwa kusema kweli bila uoga ndio kuropoka? Au unataka awe kama Steve Nyerere( Mengele) aanzishe taasisi ya mama mkanye mwanao Samia anatosha?
UWT mna kazi sana
 
Mti wenye matunda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…