Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,285
- 2,818
Kabla CCM na CHADEMA kwa maslahi ya wachache kuwadhohofisha kina Zitto Kabwe, Dkt. Slaa, Mbatia na wale wabunge 19 tulikuwa na upinzani wenye nguvu sana na hoja nzito.
Tulikuwa na list of Shame, hoja za majimbo, Tume huru, Katiba Mpya ya serikali tatu na hoja nyingine nzito sana.
Sasa hivi tunasubiri CCM na Rais Samia wanataka au wanasema nini inasikitisha sana, nadhani upinzani tujitafakari, tofauti ziwekwe pembeni.