Kudeka ni usumbufu kwenu wanaume?

Huyo wakwako labda
Kudeka sio kwa kila mtu. Ni kipaji mtu anazaliwa nacho. Sasa unakuta jitu linafosi kujidekesha huku kiuhalisia ni Mkulungwa mwenye jinsia ya kike.

1730040494705.jpeg
 
Kunidekea zingatia na moments na mood ambazo nipo nazo, sio muda wote udeke. Nikiwa kwenye hali isiyo nzuri kihisia ukaleta mideko naweza kukusogezea KELBU ya maana kiasi kwamba ikikukosa lazima mkono unyofoke
 
Inategemea na mtu yupo kwenye mood gani,haiwezekani nawaza kodi ya nyumba na mahitaji ya familia af mda huo unidekee aisee naweza ata kukuzibua ngumi
Siyo hiyo tu umestruggle ukapa hizo Kodi, fees, mchango wa familia, hapo hapo anataka Hela ya Mafuta/Lotion ya laki au anadai nguo/viatu na ukiangalia kabati limejaa, unajiuliza huyu mtu akili Iko sawa?? Kuondoshari unasema subiri ikipatikana.
 
Mwanamke kibonge mfupi akideka anakua kama chizi lazima uwe kero
 
Mwanamke kudeka deka inaanashiria kautapeli fulani hivi kwa mbaaali Wanawake wanaodeka deka kwa asilimia kubwa hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kukujaza kichwa na kukupunusa pesa
Si kweli. Wewe utakua ni mbahili sana 🙄
 
Kwa upande wangu sipendi mwanamke anayedeka, napenda mwanamke anayenishauri namna ya kukua kibiashara huku akinihudumia mapenzi muda wowote ninapo muhitaji.
Sasa mkuu si ungeajiri tu business analyst akakushauri ukamlipa ukafanikiwa? Huyo hakuna kudeka, ni deliverables na wewe ulipe kwisha kazi!
 
Kudeka kunapaswa kuendane na muonekano na sauti pia. Sio sauti kama Halima Mdee halafu ajibebishe.

Unakuta jitu kama fuko la mahindi, sura kama bambo halafu anakuletea madeko.

Anaedekewa nae anatakiwa awe anadekeka pia
Hii umeua
 
hii habari ya kudeka imenikumbusha rafiki yangu mmoja aligoma kufunga ndoa na baby daddy wake miaka 10 baada ya kuishi pamoja. Yaani kila anacholalamikia mimi naona ndio mahaba! Kupelekwa sokoni, kufuatwa ofisini, kuletewa lunch. But now I know, you can’t pour from an empty cup. Make sure your cup matches your needs (kale kakikombe ka gahawa sijui kana mls 100, halafu ukute wewe unapenda chai tumbler mls 750! Utashaa!)
 
Siyo hiyo tu umestruggle ukapa hizo Kodi, fees, mchango wa familia, hapo hapo anataka Hela ya Mafuta/Lotion ya laki au anadai nguo/viatu na ukiangalia kabati limejaa, unajiuliza huyu mtu akili Iko sawa?? Kuondoshari unasema subiri ikipatikana.
Kweli mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom