Sure I'm telling you! Mara mia mtu udeke kiafrika ukiwa na mwonekano wa kiafrika, kuliko wale wa Beeiiib Nataka iyo! Nchum hap'ah! MmmmmmmmmhMmmhmw' aaah! Jomoni, halafu vidoleni makucha hayo, kwenye macho minyusi hiyo, halafu akizungumza anakutazama sana usoni huku amekuwekea kiwiko kwenye bega, kichwani 80k imelala halafu kaunywele kamoja kameziba jicho moja. Ihiiiiiii Naleshaga Mayo!Hapana bhna ahahhaha
HAHAHAH nimecheka sana jamaniSure I'm telling you! Mara mia mtu udeke kiafrika ukiwa na mwonekano wa kiafrika, kuliko wale wa Beeiiib Nataka iyo! Nchum hap'ah! MmmmmmmmmhMmmhmw' aaah! Jomoni, halafu vidoleni makucha hayo, kwenye macho minyusi hiyo, halafu akizungumza anakutazama sana usoni huku amekuwekea kiwiko kwenye bega, kichwani 80k imelala halafu kaunywele kamoja kameziba jicho moja. Ihiiiiiii Naleshaga Mayo!
Anakuja tunaendelea na mambo yetu, lakini sio ile mideko ya kitapeli tapeliYeye anapokuhitaji je?
Kwa mwanamke ambaye ana Tako Wala sio usumbufu ila ka flat screen ni usumbufu Sasa unashika nini ili umdekeze vizuri mrembo🤣🤣🤣🤣Naomba nijue kama kudeka ni usumbufu kwenu wanaume
Hapa unatakiwa kubembelezwa kwa mideko kidogokuna mda tunakuwa kwenye mood hii just imagine hapoView attachment 3136506