Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 3,945
- 4,381
Kuchangia siyo wazo baya mkuu lkn swali la kujiuliza kwanza Je unachangia kwa sababu gani hasa? Kwani hakuna fedha za jimbo anazopewa mbunge? Na Je hizo fedha zinatumika kufanyia nini sasa kama siyo kwenye kero kama hiziMbunge ni Waitara mkuu
watanzania tuamke tuchangie meendeleo zaidi kuliko starehe.
Tatizo hapa siyo kurepea hii barabara kuondoa mashimo tu bali ni kuweka kwenye kiwango cha lami kabisa maana kama ni matengenezo madogo huwa yanafanyika ila tatizo mvua zikinyesha tu basi zinaondoa udongo barabara inabak na mashimo kila sehemu sasa hata mkisema mchangishane kiwango hitajika ni kikubwa sana mnaweza msifike popote
Nachokiona hapa siasa imetawala sana kiasi kwamba jambo dogo tu utakuta linachukuliwa kama ni mtaji wa kisiasa
Chukulia mfano tu daraja la hapo Kitunda lina miaka mi3 sasa mkandarasi ameshajenga limekamilika kitendo cha kufukia mashimo kuweka level ya barabara daraja lianze kutumika tu hapo ni tatizo wameliacha makusudi kabisa kusubiria uchaguzi ndipo likamilishwe kuonyesha wametatua kero sugu (wakati kero yenyewe wameisababisha wao)
Ndio siasa zetu zilivyo, siasa uchwara hizi. Viongozi wa aina hii ni kuwa nao makini sana next time.
Hakuna kuchangishana fedha, jukumu hili ni wajibu kabisa wa serikali na hatujaambiwa kuwa serikali ina uhaba wa fedha mpaka wananchi tuchange za kwetu tunazosotea kwa tabu kuzipata
Mkuu hiyo hela ya kuchanga ni heri hata ukanywee bia kama unatumia kuliko kumrahishia mtu utelezi wa kuendelea kukunyonya