Kubenea na Zitto uso kwa uso ndani ya Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii

Wana jamvi wasalaam!

Ikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa vikao vya bunge leo kamati mbali mbali!

Kama mtakuwa na kumbu kumbu kubenea amekuwa ikumsakama sana Zitto kabwe na amekuwa akitaka kujifananisha nae!

Leo hii baada ya kutangazwa wajumbe wa kamati za bunge Zitto na Kubenea wamekutanishwa kwenye kamati ya huduma na maendeleo ya jamii!

Ni wazi kubenea alitamani Zitto asiwepo hata kwenye kamati hata moja lakini kitakacho mshangaza ni kuwa nae kamati moja na wananchi wanategemea kuona jinsi kubenea atakavyo jaribu kujifunza kutoka kwa Zitto.

Hii inaitwa usiyempenda kaja kwani kubenea hakutarajia kabisa jambo hili!
Sheria na kanuni za bunge zinasemaje kuhusu kutoa siri za kamati na kupeleka nje.

Unaweza kushangaa kila wanachokijadili kwenye kamati unakikukuta kwenye gazeti la Mwanahalisi kama makala ya kitafiti.

Wanaojua sheria za kibunge tufahamisheni.
 
Elimu ya msaliti.na asie na elimu mwema.yupi bora.acha mambo ya ajabu wewe fuata yako.sio kuandika andika vitu visivyo na tija humu
 
zito ameonewa...huyu ni akili kubwa sana...alitakiwa awe Mwenyekiti wa kamati zote za bunge
 
Hii nayo nasikia inakusanya mpaka masuala ya elimu, naamini watatusaidia sana kutokomeza swala la vyeti feki, hongereni wote wawili tunataka mtusaidie kuisimamia serikali itoe elimu bora na sio hii ya hapa na pale
Kubenea elimu yakr ya hapa na pale atawezaje kuisimamia serikali kuhusu elimu
 
Back
Top Bottom