Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 312
- 281
Habari wakuu... Kuna utafauti gani kati ya category A - C vocational training center and category D Vocational education and training center, based registration
Asante sana mkuu,Tunaposema vocational training center yaani (VTC) tunaongelea vituo vya mafunzo ya ufundi na ufundi stadi hapa una include vituo vyenye fani za ufundi na ufundi stadi tu mfano umeme,ujenzi,magari,selemala n.k
vocational education and training center hapa tunaongelea vituo vinayotoa elimu ya fani zingine zisizo za ufundi kama vile upishi,usekretari,tourism .n.k lakini pia na fani za ufundi na ufundi stadi kama selemala,magari,umemen.k
Kww hiyo kuna utofauti mkuu
Sorry... Kusajili inaweza ikawa Tsh. ngapiTunaposema vocational training center yaani (VTC) tunaongelea vituo vya mafunzo ya ufundi na ufundi stadi hapa una include vituo vyenye fani za ufundi na ufundi stadi tu mfano umeme,ujenzi,magari,selemala n.k
vocational education and training center hapa tunaongelea vituo vinayotoa elimu ya fani zingine zisizo za ufundi kama vile upishi,usekretari,tourism .n.k lakini pia na fani za ufundi na ufundi stadi kama selemala,magari,umemen.k
Kww hiyo kuna utofauti mkuu
Appreciate you! 🤝🤝