Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,115
Siyo kila upungufu wa kinga mwilini unasababpshwa na HIV
Ebu nisaidie kitaalamu, kwanini zaidi ya 54% ya wagonjwa wote wa UKIMWI wapo Africa, kusini mwa jangwa la sahara?Mkuu haya mambo si ya kisiasa ni mambo ya kitaalamu, kama huyaelewi vizuri, ni vema ukatuuliza wataalamu tutakueleza lakini si kuandika tu na kufanya utani kwenye mambo yaliyo thibitishwa tayari. Tafadhali sana huku kwetu hatuna siasa.
Mkuu haya mambo si ya kisiasa ni mambo ya kitaalamu, kama huyaelewi vizuri, ni vema ukatuuliza wataalamu tutakueleza lakini si kuandika tu na kufanya utani kwenye mambo yaliyo thibitishwa tayari. Tafadhali sana huku kwetu hatuna siasa.
fata huu ushauriNenda kituo cha afya cha karibu utapewa taarifa ,but in vizuri kujua ni Nani mtu huyo maana kuna utofauti juu ya uanzishwaji wa dawa kwa makundi haya;
1. Wajawazito
2. Watoto
3. Watu wazima na vijana
Kuna Ambao regardless of CD4 Count akigundulika tu na maambukizi anaanza dawa.
Kuna Ambao CD4 chini ya 500 cells/mm^3 wanaanza
Wako watu wazima ambao wana HIV lakini wana TB Hao pia wana utaratibu wa kuanza, kadhalika wake wenye magonjwa Kama hepatitis B, wale wanaume ambao in waathirika na wana deal wanaume wenzao,wanaojidunga dawa za kulevya na wana maambukizi, hata wale ambao unakuta wanaishi Kama mume na mke lakini mmoja kagundulika na maambukizi. Hawa wote wana utaratibu mmoja WA kuanza dawa.
So sitaki nikwambie hapa kwa kuwa, kwanza sijajua mtu huyo upo category gani.
Sio Suala tu la kuanza, kuna vigezo.
Mkuu hapo kuna issue nyingi,lakini issue kubwa hapa ni advocacy na elimu kwa watu wetu hawa. Yaani ni ajabu sana mpaka leo pamoja na intervention mbalimbali lakini watu bado wana stigma, watu hawaji hospitali kwa wakati na masuala ya kujikinga kwa waafrica bado kiasi fulani hawajakaa sawa. Mtu mpaka leo anakuja hospitali yuko clinical stage 4 besides kelele zote tunazopigaEbu nisaidie kitaalamu, kwanini zaidi ya 54% ya wagonjwa wote wa UKIMWI wapo Africa, kusini mwa jangwa la sahara?
Mkuu thats very soft, yani watu kutokuja hospital na kutokuwa na elimu ndio sababu ya kuwa na maambukizi mengi kusini mwa Africa? So kule Africa magharibi wana elimu na wanaenda sana hospitali?Mkuu hapo kuna issue nyingi,lakini issue kubwa hapa ni advocacy na elimu kwa watu wetu hawa. Yaani ni ajabu sana mpaka leo pamoja na intervention mbalimbali lakini watu bado wana stigma, watu hawaji hospitali kwa wakati na masuala ya kujikinga kwa waafrica bado kiasi fulani hawajakaa sawa. Mtu mpaka leo anakuja hospitali yuko clinical stage 4 besides kelele zote tunazopiga
Mkuu like I said kuna sababu nyingi sana,lakini Tafiti mbalimbali zimefanyika na sababu kadhaa zimeainishwa,siwezi kuandika zote hapa lakini naomba nikuwekee attachment hapa ujisomee taratibu why sub saharan?Mkuu thats very soft, yani watu kutokuja hospital na kutokuwa na elimu ndio sababu ya kuwa na maambukizi mengi kusini mwa Africa? So kule Africa magharibi wana elimu na wanaenda sana hospitali?
Vipi Asia ambako ni sawa na Afrika kwa wahindi masikini kule wasio na huduma za afya na wasio na elimu bora ya Africa, vipi huko?
Kwaiyo ulaya pamoja na ngono wanazofanya wakienda hospitali mapema wanapona? Na Wa africa wanachelewa hospitali hawaponi?
Je tukianza kuwai hospitals tutapunguza maambukizi? How
Mkuu naomba kuuliza, Hepatitis C ina tibika na dawa gani..?Na pia kuanza dawa hizi huanzi tu mwenyewe kwa kununua au kupima vipomo mwenyewe bila kupata huduma hii katika vituo kama hapo juu ulivyoshauriwa kabla ya kuanza haijalishi hali ya CD4,TB,Ujauzito,Hepatitis tu vipimo kuangalia hali ya figo,hali ya ini,uzito,urefu hufanyika kwa hiyo ni muhimu sana sana kwenda kituoni CTC kukutana na wahudumu wakusaidie na uwe na matumaini usikate tamaa huo sio mwisho wa maisha
Hujui kweny upimaji wa huu Ugonjwa zinaangaliwa Antibodies dhidi ya Virusi (HIV-VIRUS)...
Nitaitafuta hiyo "AIDS Blunder"... ila ukwel unabaki pale paale, Kwamba mtu huwezi kuambiwa una Virusi vya Ukimwi( HIV VIRUS) kama kipimo hakijaonyesha Damu ina Antibodies against HIV VIRUS..
Mkuu search maneno haya AIDS Blunder, utapata taarifa zote jinsi hiyo kitu unayoishabikia HIV.
Mkuu kwa majibu wa Standard treatment guideline huwa tunatibu hiyo kwa kutumia Inj Pegylated interferon 180ug subcutaneous, hiyo inatolewa pamoja na dawa ya vidonge inaitwa Ribavirin 800mg per day.Mkuu naomba kuuliza, Hepatitis C ina tibika na dawa gani..?
Kwanza unatakiwa kujua "ANTIBODIES" ni Substance fight against Foreign materials(ni mlinzi wa mwili dhidi ya maambukizi mbalimbali)..Mkuu Geniustin, please naomba unieleweshe hoja zifuatazo:
(a) WHY wanaangalia 'ANTIBODIES' tu, badala ya kukidetect Kirusi chenyewe moja kwa moja?
(b) Je, ni kweli kuwa kuna some factors (mimba, maralia kali, n.k) zinaweza sababisha mwili uka-produce hizo ANTIBODIES hata kama mtu hana Kirusi?
(c) Je, kila infection mwilini (either bacterial or viral) huwa inapata ANTIBODIES ya aina yake? Yani mfano, antibodies za H.I.V ni tofauti na antibodies za Syphilis or Hepatitis?
(d) Kuna cases nyingi tu watu wanapima H.I.V positive, ila baadae wanapima H.I.V negative! Je, ni nini hasa husababisha 'false positive' on H.I.V ?
(e) Je, hizo HIV Test kits ni 'specific' to HIV? If YES, then why zinatokea incidences za FALSE POSITIVE/NEGATIVE ?
CC: Dumelang, Ngahekapahi
- Kaveli -
Nashukuru Mkuu,Hiyo Ribavirin si hizi ARVs...?Mkuu kwa majibu wa Standard treatment guideline huwa tunatibu hiyo kwa kutumia Inj Pegylated interferon 180ug subcutaneous, hiyo inatolewa pamoja na dawa ya vidonge inaitwa Ribavirin 800mg per day.
Ngoja nikuitie Uncle Deception msaidiane kidogoKwanza unatakiwa kujua "ANTIBODIES" ni Substance fight against Foreign materials(ni mlinzi wa mwili dhidi ya maambukizi mbalimbali)..
Na kila Infection(Maambukizi) mwili una respond kwa kutengeneza Walinzi (Antibodies) dhidi ya wavamizi (Antigens), na
hao Antibodies wako Specific to the infection...au naweza kusema kwa lugha rahisi; kila Vijidudu vinatengenezewa Antibodies wa kwao....
Mathalan: Antibodies wa HIV virus ni tofauti na wa Malaria....vivyo hivyo ni tofaut na wa Syphilis, Hepatitis n.k.
Tunaangalia Antibodies walioPruduziwa mara baada ya Hayo wadudu kuingia ndani( Each Antibodies ni Specific to certain Infectio..)
Kwa kujua uhusiano uliopo kati ya Antibodies na Antigen, Wataalam wakaja na Njia za kuweza kubaini/ kujua/ kupima.....na hizo njia zinaitwa QUALITATIVE TESTS (Yaan unaangalia kama ugonjwa upo au haupo.., Haiangaliwi Idadi ya Vijidudu..)
Kirusi ni kidogo sana kwa size..Kukiangalia inatakiwa darubini ya hali ya juu (ELECTRON MICROSCOPE) ambayo Kwetu(Nchi) yetu sijui kama ipo....! Ila usiniQUOTE vibaya eti sababu haipo ndo maana tunatumia hizi Antibody-Antigen Reaction....Jua tu hizi ni njia hata Ulaya na Dunian kote wanatumia.
MJAMZITO, huwa Placenta yake ina tengeneza Hormone iitwayo Human Chorionic Gonadotrophin (HCG)...ambayo hii hormone inaweza kupatikana kwa Mkojo au Damu....Hence Qualitative method inatumika kuDetect hii Hormone kwa mkojo..kipimio cha Pregnant(UPT) Kimetengenezwa maalum kutambua hiyo Hormone..
So, Ukiwa na Mimba au Malaria au Ugonjwa wowote ambao sio AIDS; Virusi vya Ukimwi haziwezi Kutambuka...only kama vimeshaingiia...
False Positive" au Negative" ni matokeo ya Sababu mbalimbali.....Either Individual factor, Error during procedure, muda wa kusoma majibu, Uhifadhi wa vitendea kazi, Environmental factor......
Mfano; Huwezi kuDetect Virusi vilivyoingia leo, hapo hadi uvipe mda wa Miezi mitatu( tunaita Window period)...huwezi jua mtu aliCome cross to njian za uenezi,Afu akaja kupima siku chache,hiyo inapelekea kutokuonekana...
Also, u have to know....Upimaji wa Ukimwi inajumuisha Vipimo viwili....((Determine au wengine wanatumia SD BIOLINE for HIV-VIRUS)) na (( UNIGOLD))
Sasa ikitumika DETERMINE ikionyesha Positive...kinachofata ni Kutumia aina nyingine ya Kipimo inaitwa UNIGOLD, hapa inatumika kama Confimatory test...ZIKIWA ZOTE POSITIVE, hapo ndo mtaalam amejiridhisha na kutoa jibu POSITIVE........
Mfano; Hivyo vipimo vikitofautiana majibu...Client huambiwa aje tena baada ya muda, arudie tena kupimwa..
NOTE; BLOOD BANK wanatumia njia iitwayo ELISA kupima HIV-VIRUS....hii njia inatambua Antibodies za Virus hata kama vimeingia kwa Siku chache...
Naomba utaniuliza, kwa swali ambalo sijajibu, au sijalieleza vizuri...
Thanks.
Even PCRNgoja nikuitie Uncle Deception msaidiane kidogo
Kwanza unatakiwa kujua "ANTIBODIES" ni Substance fight against Foreign materials(ni mlinzi wa mwili dhidi ya maambukizi mbalimbali)..