ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 803
Vp mkuu, una banda la kuonesha Soccer (Kabumbu) nini. .saafi sana
Vp mkuu, una banda la kuonesha Soccer (Kabumbu) nini. .saafi sana
Naomba unielekeze hapa mkuu...nnapata shida kweli....unaunganishaje cmu na flat screen?Ila Streaming raha sana nna Flat Screan yangu+Laptop+VGA na HDMI cable na smart phone yangu+bando la chuo bas mambo mubashara hakuna gem ambayo huwa nataka kuangalia nshindwa kiukweli Jf idumu
N.B
Ukitaka kuangalia gem yoyote bila kuscratch na kutumia bando dogo fanya registration kwenye Bet company kubwa za ulaya kama Bwin ama Bet360 gem zote live bila kukwama kwama
Mm pia aiseeBoss unaweza ni pm ukanielekeza zaidi kuhusu huo mchongo?
Na mimi ndo nasubiria jibuNaomba unielekeze hapa mkuu...nnapata shida kweli....unaunganishaje cmu na flat screen?