Kuagiza mabasi ya mwendokasi ya dizeli baada ya kukamilika kwa Bwawa la Nyerere itakuwa ni kipimo cha ujinga kwa Watanzania

Lakini hawaweki mfumo wa gesi asilia, ila wana uwezo wa kufanya hayo. Tena mengine ni magari ya biashara. Kuna shida kwenye fikra.

Ova
Wapo wenye uwezo na hawafanyi sababu ya akili mbovu tu, ila ni wachache hao
 
Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity).

Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka wa Mbagala kwamba ni ya Diesel au ya umeme (Rechargeable); ila kama kweli tutakuwa tumeagiza mabasi ya kutumia mafuta ya diesel yanayo tugharimu pesa nyingi za kigeni kuyaagiza, yanayosababisha gharama za usafirishaji kuwa kubwa na kuchafua maazingira, ilihali mitambo mingi ya kufua umeme imezimwa kwa sababu ya umeme kuzidi mahitaji, na hii ni baada ya mtambo mmoja tu kati ya 9 ya bwawa la Nyerere kuwashwa, basi itakuwa ni kipimo cha kutosha cha utaahira jumuishi cha waTanganyika.

Ni hayo tu.

==========================

View: https://youtu.be/wi-RhesWU_w?si=tZo72GqsBtFGx35V

Baba mkurugenzi mtendaji wa mabasi na mama mkurugenzi mtendaji wa kuyauzia mafuta mabasi ya baba.
 
Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity).

Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka wa Mbagala kwamba ni ya Diesel au ya umeme (Rechargeable); ila kama kweli tutakuwa tumeagiza mabasi ya kutumia mafuta ya diesel yanayo tugharimu pesa nyingi za kigeni kuyaagiza, yanayosababisha gharama za usafirishaji kuwa kubwa na kuchafua maazingira, ilihali mitambo mingi ya kufua umeme imezimwa kwa sababu ya umeme kuzidi mahitaji, na hii ni baada ya mtambo mmoja tu kati ya 9 ya bwawa la Nyerere kuwashwa, basi itakuwa ni kipimo cha kutosha cha utaahira jumuishi cha waTanganyika.

Ni hayo tu.

==========================

View: https://youtu.be/wi-RhesWU_w?si=tZo72GqsBtFGx35V

Wakileta mabasi ya umeme hawataiba mafuta.
 
Rostitamu rafiki wa karibu wa bi kizimkazi hawezi kubali tutumie nishati safi ya umeme kupikia wakati yeye ni mmiliki na msambazaji wa gesi ya kupikia
Alaaa! Kumbe ni Rost tamimu ndio sababu!
 
Back
Top Bottom