Habari za muda wanajukwaa.
Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.
Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine. Akanishauri maaana nipo East Africa naweza kuwa partner wake nitafute mizigo aidha ya kuagiza huko Korea, China , U.S n.k au kama una mzigo ungependa ku uza huko.
Nakaribisha maoni yenu mwenye Idea ama connection za mizigo tulisogeze gurudumu.
Shukrani