Kriticos ft Harmorapa & Ronei - Kideo ( Official Music Video

Ha ha ha ha sijawahi mchukia Harmorapa,,hua haach kunifurahisha na vituko vyake,,japo ni mchanga kwenye game lakin ameinyesha ukitaka kutoka wekeza sana nguvu na akili...
 
katika nyimbo zote za huyu jamaa hii naona kajitahidi


...yaaap..!!! Harmorapa taratiiibu anakuja VIZURI.

Pongezi nyingi zimuendee P. FUNK (Majani) kwa kuamini na kuthamini KIPAJI cha Dogo, akiomba pia WADAU wa Muziki KUMSAPOTI na KUMPA heshima Harmorapa kama wasanii wengine.

Ni heshima kubwa kwa wote walio jitolea katika KUSHIRIKI nyimbo/video hii kwani kweli isiyo na UNAFIKI wameitendea HAKI.

BIGUP HARMORAPA..KICHUPA KIMETULIA....
 
Big up kwake, ni soma zuri kwa maisha tusikate tamaa hata kama watu wata kudiss vipi, he dared n hes doing it
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom