Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,937
- 5,359
Heri ya pasaka kutoka kwenye ibada ya mkesha hapa St. Joseph. Wale watenda dhambi zote ikiwemo uzinzi, nendeni mkatubu mpate mwanzo mpya na Yesu afufuke mioyoni mwenu.
Nimewamiss wote, natuma salamu za pasaka kwa mpwa wangu kipenzi Nomadix , wadogo zangu makutupora , Mallerina , realMamy , na wapendwa bonjov , Eli Cohen , secretarybird , min -me , issac77 na mzee wangu Ushimen