Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,937
- 5,359
Amefufuka kweri kweriHeri ya pasaka kutoka kwenye ibada ya mkesha hapa St. Joseph. Wale watenda dhambi zote ikiwemo uzinzi, nendeni mkatubu mpate mwanzo mpya na Yesu afufuke mioyoni mwenu.
Nimewamiss wote, natuma salamu za pasaka kwa mpwa wangu kipenzi Nomadix , wadogo zangu makutupora , Mallerina , realMamy , na wapendwa bonjov , Eli Cohen , secretarybird , min -me , issac77 na mzee wangu Ushimen
View attachment 3309870
Duh hizo bia na kongoro kila siku si utakua unabasti mkaliMshangazi dot com Karibu sana kigamboni tupate bia na supu ya kongoro
Mbona kwenye hii list Kuna wanaume mnataka kumchanganya yesuSalamu za kipekee za Pasaka ziende kwa wanawake wote wa JF na wale wa Jamvi la wanawake
CC:
nakwede97 ⋆ Aaliyyah * Mallerina
Leejay49 ⋆ Atoto * Demi
Sister Abigail ⋆ Ms R
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio * Palina
cocochanel * Anastasia21
ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Numbisa ⋆ Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
ephen_ ⋆ Donatila * Lamomy
Jackcharty * Kelsea * Braying * Evelyn Salt
Khaaaaa unataka kunipangia, bahati yako leo pasaka na nimetoka kanisani. Acha nikutakie tu Heri ya Pasaka!na leo ndo iwe mwisho wako kuzini usije tena na maada zako za uzinzi hapa jukwaan
😃😃😀😀Hapa nipo bia ya 3 nikitoka naenda kukaa baharini napiga story na mtoto mzuriDuh hizo bia na kongoro kila siku si utakua unabasti mkali
Mkuu leo nipo daslamu.. na nipo hapa TYPE C kaunta nimevimba kibonge fulanniMshangazi dot com Karibu sana kigamboni tupate bia na supu ya kongoro
Kula bata mkali tunaishi mara moja tu😃😃😀😀Hapa nipo bia ya 3 nikitoka naenda kukaa baharini napiga story na mtoto mzuri