Na kuripoti chuo ni mwezi gani kwa wenye taarifa na waliochaguliwa chuo cha afya cha afya singidaNauliza namna ya upatikanaji wa join instruction ya chuo cha afya cha singida
Update kama hizo unatembelea kwenye website ya chuo!Na kuripoti chuo ni mwezi gani kwa wenye taarifa na waliochaguliwa chuo cha afya cha afya singida
Tembelea website ya chuo ndio utapata maelezo yoteNauliza namna ya upatikanaji wa join instruction ya chuo cha afya cha singida
Asante sana kwa maelezo yako Mkuu, mimi nna ndugu yangu.Ufaulu wake ni F-D-C kwa maaana ya Physics F Chemistry D na Biology D. kwa vyuo vya serikali anaweza pata nafasi kweli? maana huku private hali ngumu. Msaada tafadhali
Habari zenu,
Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2015 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2016/2017.
Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo,
1.SEKTA YA AFYA
2.SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
3.SEKTA YA ELIMU
4.SEKTA YA ENGINEERING
5.SEKTA YA SHERIA NA BIASHARA
1.KOZI ZA AFYA
Afya ni moja kati ya sekta zinazoajiri kwa wingi sana vijana wengi kutokana na kutokuwepo kwa watalam wa kutosha kufiti nafasi hii adimu ya kuhudumia watu.
Katika sekta hii inajumuisha kozi zifuatazo,
- Nursing
- Medicine
- Pharmacy
- Laboratory
Kutokana na ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne ,Taasisi muhimu inayojishughulisha na udahili wa wanafunzi katika ngazi hii ya cheti na diploma wametoa sifa ambazo zitakufanya na kukuongoza katika kufanya maamuzi yako.
Ili uweze kudahiliwa(kuchaguliwa ktk chuo chochote cha afya tanzania ktk ngazi ya diploma na cheti kwa kozi tajwa hapo juu inabidi uwe umesoma masomo yafuatayo;
- Physics
- Chemistry
- Biology
Masomo tajwa hapo juu ni lazima uyasome kama unataka kujiunga na kozi za afya.Pili inabidi uwe umefaulu kwa viwango vifuatavyo.
Kama una -physics-D,-chemistry-D,-biology-D(una sifa za kujiunga na cheti)
Kama una -physics-D,-chemistry-C,-biology-C(una sifa za kujiunga na Diploma).
Kutokana na vigezo tajwa hapo juu unaweza kuomba chuo chochote kile Tanzania na nakuhakikishia 100% utachaguliwa kujiunga.
NOTE: KAMA HAUNA VIGEZO TAJWA HAPO JUU USIJISUMBUE KWANI HUTACHAGULIWA.
DEADLINE NI TAR 31 MARCH 2016
JINSI YA KUFANYA APPLICATION
View attachment 331383
Wanakuchagua mkuu.. tena bila shida vyuo vya serikali, ingia NACTE uombe acha kupoteza mdaJamani nisaidieni Nina chemistry C biology B English C physics C WAnaweza nichagua clinical medicine ?
Math uwe na dJamani nisaidieni Nina chemistry C biology B English C physics C WAnaweza nichagua clinical medicine ?
Math ajaandikA hapo kapataje wAnAtaka dWanakuchagua mkuu.. tena bila shida vyuo vya serikali, ingia NACTE uombe acha kupoteza mda
Sabalkheri wanajamvi,
Naona vijana wanahamu na koz za afya na mim ningependa kushare na nyinyi uzoefu wangu..
TWENDE KAZI..
Pale NACTE wamesema kwa Diploma unahitaji uwe na C ya Bio na C ya Chem! Na D ya either Phys au Math!! Sasa hapa hapa ndo panapowafanya vijana wakose njia!
Mfano: Wewe una hizo C mbili na D moja ila hesabu una F! Au una div 3! Unakimbialia unajaza Lugalo! Au chuo chochote chenye jina! Kumbuka katika mfumo huu watachukuliwa mpaka wale watakaofeli form 6 mwaka huu! So wao pia watakuja na vyeti vya o level Vyenye div 1 na 2 watataka ku apply mwisho wa siku wewe unatemwa!! Na unapelekwa kwenye koz usizopenda huku private ada m3!
NINI CHA KUFANYA?
Kama una dv 3 au 4, na una qualification za diploma, jaza vyuo vya serikal kimoja! Kwa dip kwa 1st choice! Kama home safi mambo ya Dad, 2nd choice jaza private na 3rd jaza private! Ila kama home pabovu 2nd choice na 3rd jaza vyuo vya serikal certificate ili usije kukosa nafasi.
Maoni yanakaribishwa..kama una c tatu na nyingine zote d flat Ila izo d flat ni pamoja na masomo ya sayansi ila katika izi c tatu moja ni ya hesabu na English na civis apo inakuaje kwa afya?
HellowSabalkheri wanajamvi,
Naona vijana wanahamu na koz za afya na mim ningependa kushare na nyinyi uzoefu wangu..
TWENDE KAZI..
Pale NACTE wamesema kwa Diploma unahitaji uwe na C ya Bio na C ya Chem! Na D ya either Phys au Math!! Sasa hapa hapa ndo panapowafanya vijana wakose njia!
Mfano: Wewe una hizo C mbili na D moja ila hesabu una F! Au una div 3! Unakimbialia unajaza Lugalo! Au chuo chochote chenye jina! Kumbuka katika mfumo huu watachukuliwa mpaka wale watakaofeli form 6 mwaka huu! So wao pia watakuja na vyeti vya o level Vyenye div 1 na 2 watataka ku apply mwisho wa siku wewe unatemwa!! Na unapelekwa kwenye koz usizopenda huku private ada m3!
NINI CHA KUFANYA?
Kama una dv 3 au 4, na una qualification za diploma, jaza vyuo vya serikal kimoja! Kwa dip kwa 1st choice! Kama home safi mambo ya Dad, 2nd choice jaza private na 3rd jaza private! Ila kama home pabovu 2nd choice na 3rd jaza vyuo vya serikal certificate ili usije kukosa nafasi.
Maoni yanakaribishwa..
Chuogan,!??Nauliza namna ya upatikanaji wa join instruction ya chuo cha afya cha singida