Kozi ipi ya engineering inafaa kwa urahisi wa kujiajiri au kuajiriwa kwa mtu aliyesoma PCM?

Irrigation and water resource Engeneering pale SUA. Hutojuta ndugu.
 
usiangalie upepo wa ajira, bali tafuta kile ambacho moyo wako unakipenda na unamalengo ya kukifanya huko mbeleni. Hakika utafanikiwa kwakweli.
 
Kama unakichwa kizuri jiunge na UDSM. Hawa ndio nawaamini kwa kuivisha vijana.
 
Kasome vitu rahisi hizi engineering ni mbwembwe tu,kasome hata uhasibu fahulu vizuri hutajuta kamwe
 
Back
Top Bottom