Kova: Sasa ninaweza kuwa hata mwanasiasa

Kuna kitu aliahidiwa ndo maana alitumia nguvu nyingi kuwapiga wapinzani asituzugehapa et mwansiasa wakati ni mtu wa ccm muda mrefu
 
Hii sasa kutaka mijisifa ambayo itamtokea puani aiseee....
Huyu mzee akitaka apate amani ya roho na mwili, anapaswa atafute sehem atulieee kama watangulizi wake then alee wajukuu
Aende upinzani ili aonje joto la jiwe na kuwafahamu vizuri vijana wake wa FFU
 
Kada wa CCM wa muda mrefu huyo pia unashangaa nini kama mwanasheria mkuu wa serikali ni kada wa CCM. Hii nchi inahitaji kukombolewa
Kwa hiyo magufuli ana kazi kubwa sana, au anaonyesha mazingaombwe
 
Hiyo kauli inamaanisha alikua anatamani sana kuwa politician ila sheria ilikuwa inambana ccm yule haoni aibu
 
Wakuu habari za sikukuu,

Wakati kamanda wa Kanda maalumu ya Dar es salaam akitanganza breaking news za kustaafu rasmi jeshi la polisi pale kituo cha television cha ITV pamoja na mambo mengine aliyosema, alisema kwamba sasa anaweza kuwa mwanasiasa akitaka, maana sheria inamruhusu. Hili ndilo jambo ninalotaka tulijadili kwamba endapo ataamua kuwa mwanasiasa;

1. Atajiunga na ccm?, na akijiunga na ccm hii maana yake nini?
2. Atajiunga na Moja ya vyama vinavyounda ukawa?, na je yupo tayari kupata mshikemshike wanaoupata upinzani?
Kova sio mtu wa kujadiliwa hana hizo merits jamani hii jf sasa limekuwa jukwaa la umbeya na upigaji ramli? no more great thinkers platform bali great pimpers platform, ghosh!
 
Kova sio mtu wa kujadiliwa hana hizo merits jamani hii jf sasa limekuwa jukwaa la umbeya na upigaji ramli? no more great thinkers platform bali great pimpers platform, ghosh!
Humjui kova, au hata wadhifa wake aliostaafia huujui, harafu hujui kama jf watu wapo huru kusema wanalojisikia, kama huna point sio lazima uchangie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom