Kova acha Usanii; Utasemaje Mtu ni Wanted na Picha Umeificha?

Kamanda Kova katangaza dau la Milioni 20 kwa atakaye wezesha kukamatwa mtuhumiwa wa Makontena 329 yaliyotoka katika ICD ya Azam Bw. abdulkarim Abdi aliyekuwa mkurugenzi wa Regional Cargo Service.
Cha ajabu kulingana na gazeti la Nipashe ni kuwa Kamanda Kova hajawahi hata siku moja kukabidhi picha ya mtuhumiwa huyo kwa vyombo vya habari ili watu wasiomfahamu wamuone na kumtambua zaidi ya kutaja kiwango cha fedha za zawadi.
Huu ni usanii wa aina yake ili kuonekana kuwa Jeshi la Polisi linalengo la kumkamata mshukiwa na linafanya juhudi wakati juhudi hizo ni hewa.
Sasa unamkamataje mtu uliyekuwa ukishinda nae kula mirungiiiiii???
 
Kamanda Kova katangaza dau la Milioni 20 kwa atakaye wezesha kukamatwa mtuhumiwa wa Makontena 329 yaliyotoka katika ICD ya Azam Bw. abdulkarim Abdi aliyekuwa mkurugenzi wa Regional Cargo Service.
Cha ajabu kulingana na gazeti la Nipashe ni kuwa Kamanda Kova hajawahi hata siku moja kukabidhi picha ya mtuhumiwa huyo kwa vyombo vya habari ili watu wasiomfahamu wamuone na kumtambua zaidi ya kutaja kiwango cha fedha za zawadi.
Huu ni usanii wa aina yake ili kuonekana kuwa Jeshi la Polisi linalengo la kumkamata mshukiwa na linafanya juhudi wakati juhudi hizo ni hewa.

Hapo ndipo na pata shida kubwa na Jeshi letu. Wanataka wananchi wawasaidie kutoa lakini hawataki kutoa taarifa kamilifu wao wenyewe!

Mfano ni dana dana ya haya majina ya wauza unga! Nilitegemea Polisi Muda huu kupitia Tovuti yao na Magazeti wawe wameweka Majina na Mapicha ya watajwa wote ili wasiohusika wajipeleke wenyewe Polisi kusafisha majina yao.
Pili Picha itasaidia Jamii kushiki kikamilivu kwenye vita dhidi ya matumizi ya Unga/Madawa ya kulevya!
Mfano.Familia zingine hata hazijui Jirani zao wanafanya shughuli hizo lakini wangejua wangewakataza hata watoto zao kuambatana na watu wa aina hiyo-hili litakwenda mbali mpaka mashuleni na Vyuoni!

Waathirika wengi wanaingia mtegoni bila kujijua.
 
Usipende kutafuniwa kila kitu. Wewe umepewa source kuwa ni Nipashe, kama wewe unacho chombo cha habari kilichotoa picha halisi na maelezo ya huyo WANTED weka hapa kupinga habari hiyo. Au wewe unayejua wasifu wa mtuhumiwa kama ulivyotolewa na Kova (Polisi) tuwekee hapa.
We si ndo Umeanzisha Mada ya Malalamiko.. Weka Hicho kipande cha Nipashe
 
Kwa hiyo hpo imetosha kwa akili yako kila mtu anaingia ktm mitandao hivi wangechapisha magazeti yote kwa siku hâta 5 ingekuwa rahisi mimi karibia nikalibebe liarabu moja kko yanafanana sana haya mawatu
angalia usiweke linda rehani.
 
Mambo mengine ukitafakari sana pengine hata Kova si kulaumiwa sana, pengine kaamriwa tu, kuna watu wanojiita wao wenye chama na wengine wanasema wao ndo Tanzania, hawa watu wangekufa kidogo tutasogea
 
Hahaaaaa, kova bana, sometimes huwa namfananisha na yule waziri wa Iraq mwenye makeke wakati wa vita vya Ghuba kipindi kile!!!
 
Kamanda Kova katangaza dau la Milioni 20 kwa atakaye wezesha kukamatwa mtuhumiwa wa Makontena 329 yaliyotoka katika ICD ya Azam Bw. abdulkarim Abdi aliyekuwa mkurugenzi wa Regional Cargo Service.
Cha ajabu kulingana na gazeti la Nipashe ni kuwa Kamanda Kova hajawahi hata siku moja kukabidhi picha ya mtuhumiwa huyo kwa vyombo vya habari ili watu wasiomfahamu wamuone na kumtambua zaidi ya kutaja kiwango cha fedha za zawadi.
Huu ni usanii wa aina yake ili kuonekana kuwa Jeshi la Polisi linalengo la kumkamata mshukiwa na linafanya juhudi wakati juhudi hizo ni hewa.
MKUU UKIACHA PICHA MIMI NACHOSHWA NA USANII.WA ZAWADI YA MILLIONI 20.WAKATI MHUSIKA ANATUHUMIWA KWA MABILLIONS! UTAMPATAJE MTU WA KUTOA TAARIFA ALIPWE HELA NDOGO HIVYO KWA KOSA LA MIHELA MINGI? HIZI SIO AKIILI NI MATOPE AU NJIA YA KUMFANYA ASIKAMATWE! ATAKAYEMUONA ANAWEZA KUPEWA HELA ZAIDI YA HIZO NA MTUHUMIWA ILI ASIKAMATWE.KOVA ANAPASWA ASTAAFISHWE KWA MANUFAA YA UMMA.AMEFANYA USANII UMETOSHA SASA KAZI TU .
 
Hii umenikumbusha wakati wa Kasusura yule aliiba $ 2m za Stanbic zikitokea Airport. Polisi wakatangaza kama sikosei Tsh 5m, basi ikawa Polisi wakichunguza wakimkuta kwa Mganga wanavuta 10m wananyamaza ila wakiishiwa wanamfata tena wanakula 20m mpaka alipoishiwa ndio wakamkamata
 
Kweli mkuu.nakumbuka polisi njia nzima ya kwenda Tanga walivuta sana hela ya Kasusura.BOUNTY(Zawadi) inabidi inishawishi kutoa taarifa polisi badala ya kutoa taarifa kwa mtuhumiwa.
 
Kamanda Kova katangaza dau la Milioni 20 kwa atakaye wezesha kukamatwa mtuhumiwa wa Makontena 329 yaliyotoka katika ICD ya Azam Bw. abdulkarim Abdi aliyekuwa mkurugenzi wa Regional Cargo Service.
Cha ajabu kulingana na gazeti la Nipashe ni kuwa Kamanda Kova hajawahi hata siku moja kukabidhi picha ya mtuhumiwa huyo kwa vyombo vya habari ili watu wasiomfahamu wamuone na kumtambua zaidi ya kutaja kiwango cha fedha za zawadi.
Huu ni usanii wa aina yake ili kuonekana kuwa Jeshi la Polisi linalengo la kumkamata mshukiwa na linafanya juhudi wakati juhudi hizo ni hewa.

Mimi ninaona hili sakata la makontena lina potea kimya kimya. Tatizo sio mkurugenzi tatizo kubwa ni mfumo wa vigogo uliopo ukiwahusisha Jeshi la polisi kwani wanahusika katika hizi deal haramu. Hebu tuone hizi ishu zitafikia wapi kama sio danganya toto hapa.
 
Dokezo muhimu- siku ukimuona cover au kwaniba ya geshi la sirikali dau/kitita kinatolewa kwa atakaewezesha kupatikana kwa mtuhumiwa ujue bongo muvi wapo location, kumbukeni mabomu kanisa la Olacity, mabomu uwanja wa Soweto, vita ngumu ya mapangoni Tanga n.k.
 
Back
Top Bottom