Brave_Idiot
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 208
- 363
Wapi dar es Salaam wanauza Korean kimchi nikale? 😄
UBalozi wa koreaWapi dar es Salaam wanauza Korean kimchi nikale? 😄
Ni supuNdio nini hicho wakuu....?
Only black Koreans can understandKwamba tuteseke tuka google hiko ni kitu gani
Labda hio ilipikwa na mbongo ndio maana 😄Niliilaga arusha mitaa ya karibu na babylon ni mbaya sana. Dar kuna restaurant ipo mitaa ya posta walikuwa wanauza kwa sasa sijui.
NaqbalNapajua mwenge pale Kuna restaurant Yao nenda kipande hicho
Supu ya nini hiyo?Ni supu
KabichiSupu ya nini hiyo?
Umeila ya mama naniBro unakula Kimchi?
Siiwezi hii kabisa! Siiwezi!