bernard10

JF-Expert Member
Apr 2, 2021
410
731
Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine

Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017,
huku makombora hayo yakiwa na uwezo mkubwa (nuclear warheads) wakuvuka bara moja Hadi jingine.

Serikali ya Japani imesema majaribio/uzinduzi huo umeonekana kuwa wa aina mpya(new type) Huku makombora hayo yamasafa marefu (ICBM) yakiwa na uwezo wa kuruka urefu wakwenda juu (altitude) kwa dakika 71 kilometa (km 6000 /3728 miles) na range (ya 1100 km(684 miles) kutoka eneo lake la majaribio/uzinduzi.

Uongozi wa south Korea(kusini) kupitia umelaamu majaribio hayo Kama uvunjifu wa wazi wa maazimio ya baraza la ulinzi la umoja wa mataifa ambayo North Korea iliihaidi jumuia ya kimataifa.

Uongozi wa south Korea haujataja aina gani ya ICBM iliyotumika sasa lakini umeonya kuwepo na mpango wa Taifa la N.Korea kufanya majaribio mengine makubwa zaidi kuwahi kufanywa na Taifa Hilo ya ICBM Hwasong-17 hivi karibuni.

Screenshot_20220324-120842~2.jpg
Screenshot_20220324-120201~2.jpg
 
North Korea leo imerusha kombora la balistiki la kuvuka mabara (ICBM) ambalo ni kubwa na lenye nguvu zaidi ya lile alilolitesti mwaka 2017.

Maafisa wa Japan wanakadiria kuwa kombora hilo liliruka umbali wa km 1,100 na kuangukia ktk maji ya Japani baada ya kuruka kwa zaidi ya lisaa limoja.

Maafisa wa Japani wanasema kombora hili la leo linaonekana kuwa ni jipyaa, na lenye nguvu zaidi kuliko lile ICBM lililorushwa na North Korea miaka mitano nyuma, na lemifikia kimo cha zaidi ya km 6,000.

Kufuatia jaribio hilo, South Korea ikapatwa na hofu kubwa na hivyo kuamua kurusha makombora ya kawaida matano toka baharini, nchi kavu na hewani.

KBLQVX6WLBP3VL75EE5T7T5EGM.jpg

======

North Korea has tested a banned intercontinental ballistic missile (ICBM) for the first time since 2017, South Korea and Japan say.

Japanese officials estimated it flew 1,100 km (684 miles). It fell in Japanese waters after flying for more than an hour.

An ICBM can travel thousands of kilometres on a standard trajectory, and could theoretically reach the US.

North Korea has launched a flurry of missile tests in recent weeks.
The US and South Korea have said some of those tests, which Pyongyang claimed were satellite launches, were actually trials of parts of an ICBM system.

Thursday's missile appeared to be newer and more powerful than the one North Korea fired five years ago, reaching an altitude of more than 6,000km, according to Japanese officials.

South Korea's military responded with five missile tests of its own, from land, sea and air.

The United States and South Korea have warned in recent weeks that North Korea may be preparing to test-fire an ICBM at full range for the first time since 2017.

Marekani imeshalipuka toka mafichoni...

Ikulu ya Marekani, kupitia msemaji wake Jen Psaki, imesema kuwa Marekani yailaani North Korea kwa kufanya jaribio la kombora la ICBM.

Marekani imeiomba Dunia imuwajibishe North Korea kwa kukiuka maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yaliyoizuia North Korea kufanya majaribio ya ICBM.

SmartSelect_20220324-143345_Chrome.jpg
 
Marekani imeshalipuka toka mafichoni...

Ikulu ya Marekani, kupitia msemaji wake Jen Psaki, imesema kuwa Marekani yailaani North Korea kwa kufanya jaribio la kombora la ICBM.

Marekani imeiomba Dunia imuwajibishe North Korea kwa kukiuka maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yaliyoizuia North Korea kufanya majaribio ya ICBM.

View attachment 2162822
US wakisema Dunia hua wanamaanisha hio .

Pumbavu Sana hao jamaa.
FN-D_yxX0AEalmA.jpg
 
Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine

Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017,
huku makombora hayo yakiwa na uwezo mkubwa (nuclear warheads) wakuvuka bara moja Hadi jingine.

Serikali ya Japani imesema majaribio/uzinduzi huo umeonekana kuwa wa aina mpya(new type) Huku makombora hayo yamasafa marefu (ICBM) yakiwa na uwezo wa kuruka urefu wakwenda juu (altitude) kwa dakika 71 kilometa (km 6000 /3728 miles) na range (ya 1100 km(684 miles) kutoka eneo lake la majaribio/uzinduzi.

Uongozi wa south Korea(kusini) kupitia umelaamu majaribio hayo Kama uvunjifu wa wazi wa maazimio ya baraza la ulinzi la umoja wa mataifa ambayo North Korea iliihaidi jumuia ya kimataifa.

Uongozi wa south Korea haujataja aina gani ya ICBM iliyotumika sasa lakini umeonya kuwepo na mpango wa Taifa la N.Korea kufanya majaribio mengine makubwa zaidi kuwahi kufanywa na Taifa Hilo ya ICBM Hwasong-17 hivi karibuni.

View attachment 2162711View attachment 2162712
Huyu kenge huyu kwa masifa naye ni kama Putini tu, amuulize Putini safari yake ya Ukraine imefikiwa wapi?? maana sasa mwezi umeisha hajafanikiwa kumueka kibaraka wake pale ukraine
 
Back
Top Bottom