Kombola la Ballistic kutoka Yemen lapopolewa asubuhi hii huko Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,913
1,965
Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wahouthi sasa hivi wanatapatapa sana kwa mwezi huu tu wamerusha makombola ya Ballistic zaidi ya 20 na yote yanapopolewa. Hongera nyingi sana kwa mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel na IDF kwa ujumla.
 
Attachments

  • IMG_6290.mp4
    17 MB

Tumekuelewa myahudi wa manzese.
 
Wkt waisrael wapo mashimoni Marekani kavamia mtumbwi wa kibwengo YEMEN aitawai kushindwa wala kuomba pooooo.
 
Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wahouthi sasa hivi wanatapatapa sana kwa mwezi huu tu wamerusha makombola ya Ballistic zaidi ya 20 na yote yanapopolewa. Hongera nyingi sana kwa mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel na IDF kwa ujumla.

Israel baada ya yalematukio ya awali, kwa sasa i.eimarisha sana mifumo ya jlinzi wa anga, kwa kuongeza mifumo mipya. Na huenda baada ya kuwa na uhakika kuwa mifumo yao haitoi mwanya wa kombora kutua ndani ya Israel, kama mazungumzo kati ya US na Iran yasipoenda vizuri, watakuwa huru kuishambulia Iran bila ya hofu ya makombora ya Iran kuingia anga la Israel.
 
Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wahouthi sasa hivi wanatapatapa sana kwa mwezi huu tu wamerusha makombola ya Ballistic zaidi ya 20 na yote yanapopolewa. Hongera nyingi sana kwa mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel na IDF kwa ujumla.
hivi hawa wahouth wanaporushaga haya makombora yao wanapataga faida gani mbona yanaishiaga kupanguliwa tu sana sana wanaipa Israel sifa ina uwezo mkubwa wa mifumo ya anga
 
Kama yanaishiaga kupanguliwa,hao wateule koko kwa nini huamka usiku usiku na mashuka kukimbilia kwenye mahandaki?
 
Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wahouthi sasa hivi wanatapatapa sana kwa mwezi huu tu wamerusha makombola ya Ballistic zaidi ya 20 na yote yanapopolewa. Hongera nyingi sana kwa mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel na IDF kwa ujumla.
Wkt waisrael wapo mashimoni Marekani kavamia mtumbwi wa kibwengo YEMEN aitawai kushindwa wala kuomba pooooo
 
Nasikia kanza mbembeleza mfalme wa Oman awapatanishe na Al Houth, Trump kisha ambiwa na Pentagon hawezi kuwashinda hao Al Houth na hi vita ulio ingia na hao Al Houth ni hasara kubwa kwa US. Pentagon wamemuambia ndege ya MQ9 bei yake ni 30 Millions Inangushwa na Missiles za Al Houth haifiki bei yake hata 1000 US $

Us kisha ishiwa Yemen sa anasingiza China ndio inamsaidia Al Houth hahahaha kwanza walisema Iran, kesho tutasikia Russia 🤣

View: https://youtu.be/nAGAcFcWKKM?si=Wcc6lmcsn7l9VV5k
 
Back
Top Bottom