playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Hahahahaaaaaaaaaa Mwenyewe akiisoma hii comment yako anakukana fuatilia vijembe vyake Insta ndo utajua anamuwaza rich mavoko au kingDiamond is something else yupo level zingine kabisa yani akihitaji kik za bif sio kwa prince wenu kwanza diamond hajui hata kama anashindana na prince, yupo kwenye mashindano asoyajua
Usilinganishe mlima na kokoto weye