kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho.
Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1.
Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka matangazo kwenye kuta za majengo lakini baada ya gharama za kodi kupanda waliamua kufuta
sasa ukiangalia vizuri serikali ilipoteza mapato kwa kiwango kokubwa bado ajira nyingi zinapotea maana kuna watu wengi wanategemea kazi za mabango
hii yote ni kutokana na kutamani kodi kubwa zaidi ya kile kinachoingia kwa wafanya Niagara. Sass unakuta mtu kachora ka tangazo kake kwa sh15,000 alafu unamwambia anatkiwa kulipia sh300,000 kwanini asifute na ukakosa hata ile kodi ndogo uliyotakiwa kupata?