Kocha Fountain Gate: Kipa wetu kauza mechi

Kiukweli licha ya kuwa mimi ni Shabiki wa Mwananchi
Ila ligi yetu itapoteza mvuto kwa mambo ya hovyo na ya ujanja ujanja yanayofanywa na hizi timu kubwa
Kipa John Noble kafanya mambo ya kitoto kabisa,,,, huyu achunguzwe

Naomba vyombo vya dola hasa Takukuru viwe serious vifanye uchunguzi ktk sekta ya michezo kuna madudu mengi sana sana

Tena waanze na baadhi ya marefarii hasa Nassoro Mwinchui, Saad Mrope na wachunguze sana pía na wachezaji

Ndo maana Saed Ramovic alisema wazi kuwa ligi yetu ushindani wake upo chini sana, kumbe hakujua kuwa behind the scene kuna viongozi wananunua mechi
 
Sio hisia ni uhalisia
Labda kama huyo kipa hamumjui,udhaifu wake wa kutema mipira uko toka alipokuwa tabora united alifanya hivyo na wakafungwa na tabora waliachana nae,huyo kocha anajua kabisa kuwa noble huwa anatema mipira na bado wanampanga,wale wachezaji wenzie wanajua udhaifu wake bado wanamrudishia mipira kwa back pass,vipi nao walihongwa? huo ni mpira ulivyo
 
Timu ya Yanga haijawahi kuwa na shabiki mbumbumbu kama wewe, na asiye fahamu kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa.

Mbona Diarra na uzoefu wake kwenye ligi, amefungwa magoli ya kutosha tu yaliyosababishwa na uzembe, lakini huwezi kuona matamko ya ya kipuuzi kutoka kwa mashabiki, benchi la ufundi, au viongozi wa timu?

Ukienda Uingereza, magolikipa kama Onana wa Man U na Robert Sanchez wa Chelsea kila siku wanafanya makosa! Lakini huwezi kusikia malalamiki ya kipuuzi kama haya ya kwenu.
 
pinpin camara kipa wa simba alitema hivyohivyo simba walipocheza na yanga na tukafunga goli naye alihongwa?
 
Labda kama huyo kipa hamumjui,udhaifu wake wa kutema mipira uko toka alipokuwa tabora united alifanya hivyo na wakafungwa na tabora waliachana nae,huyo kocha anajua kabisa kuwa noble huwa anatema mipira na bado wanampanga,wale wachezaji wenzie wanajua udhaifu wake bado wanamrudishia mipira kwa back pass,vipi nao walihongwa? huo ni mpira ulivyo
Mimi ni Yanga pure ila tuseme ukweli. GSM na Eng Hersi wanaharibu mpira wa Tanzania. Ni vigumu sana kwa Yanga kuifunga timu ambayo haifadhiliwi na GSM
 
Back
Top Bottom