Kiwanja kinauzwa

Samahani ndugu, kama ni Biashara ya kweli na unahitaji mnunuzi naomba radhi, nisamehe ndugu. Kuna makachero wengi sana humu wakijibandika kila aina ya kofia. Kila la kheri ktk kupata mnunuzi..samahani sana.
Sawa
 
Habari,

Kiwanja kinauzwa, kipo karibu na kwa waziri wa fedha.

Kipo karibu na barabara,30×40.

Bei ;million 6, punguzo lipo.

Mawasiliano; 0786 382988.


Kwa walio serious tu.
Huyu ni waziri wa fedha wq nchi gani?
 
Sikawii kukinunua halafu baadae Mh. Mpango akaja kunihamisha akaniambia nimejenga kwenye hifadhi ya bomba la gesi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom