Plot4Sale Kiwanja kinauzwa njiro Temdo Arusha

frankmweka

New Member
May 9, 2017
3
2
Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 59.43 na upana ni 37 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu. Huduma za kijamii zinapatikana. Maongezi yapo.

Sqmt 1 ni Tsh. 50,000, maongezi yapo.

2198*50,000=109,900,000 maogezi yapo karibu sana.

Huduma zote zinapatikana, kina hati. Mawasiliano 0629194102

Screenshot_20240630-005558.png
Screenshot_20240630-005707.png
 
Kiwanja kinauzwa njiro temdo kwa nyuma kiwanja kina ukubwa sqmt 2198 ni mitaa 900 kutoka barabara kuu ya njiro huduma zote zinapatikana kina hati sqmt 1 ni 50000 maongezi yapo pia 0629194102
Mbona unauza hilo eneo kijanja janja sana?
Kuna nini..!

Andika lugha rahisi inayoeleweka.
Mfano; Urefu mita kadhaa na upana mita kadhaa. Hii itamrahisishia mnunuzi kujua matumizi sahihi ya kiwanja.
Pia badala ya kuandika 50,000/sqm, andika wazi kwamba bei ni sh. Milion Mia moja (50,000 x 2198).

Kumbuka kuna watu wana pesa ila hawajui hesabu.
 
Asante mkuu nimekuelewa
 
Hakukuwa na haja ya kuweka alama ya kipimo kwenye hizo tarakimu za upana na urefu kwa sababu alivyotaja ukiwa wa kiwanja aliandika Sqmt..japo kwa kufupisha ila tayari ilibidi tuelewe tu hizo 57/30 ni vipimo urefu kwa mita.
Sema ukizidisha 57 kwa 30 haifiki Sqmt 2198 kama alivyoandika.
 
57
Kiwanja kinauzwa Njiro Temdo kwa nyuma. Kiwanja kina ukubwa sqmt 2198, urefu wa kiwanja ni 57 na upana ni 30 ni mita 900 kutoka njiro barabara kuu.

Huduma zote zinapatikana, kina hati.

Sqmt 1 ni Tsh. 50,000, maongezi yapo.

Pia 0629194102

Bei 2198*50,000=109,900,000 maogezi yapo karibu sana.

Kingozi labda tukusaidie hesabu
Bei ya kiwanja chako kwa mujibu wa ukubwa uliotoa ni kama ifuatavyo;

57*30 = sqm1710 (huu ndio ukubwa wa kiwanja chako)
1710*50,000 = 85,500,000= Hiyo ndio bei ya kiwanja chako. Hiyo ya kusema sijui 109m Sijui umetoa wapi?
Lakini; bei kwa sqm inawekwa kwa mtu mwenye eneo kubwa kama heka nk ambapo mtu analipia kiasi anachohitaji umkatie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom