Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro, 760 sqm

Ester505

JF-Expert Member
Jul 14, 2020
793
1,046
Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini.
NI Cha makazi na biashara.
Bei Ni 6,300,000.
0785367879
 
Amna sehem ya kipuuz kujenga kama Moro nyumba nzima nzur kodi laki au laki 2 upuuzi unazika hela yako badae mtu anaishi anakulipa laki
Moro pa ovyo sana
 
Amna sehem ya kipuuz kujenga kama Moro nyumba nzima nzur kodi laki au laki 2 upuuzi unazika hela yako badae mtu anaishi anakulipa laki
Moro pa ovyo sana
Laki mbili Ni vyumba 2 na,sebule.laki Ni chumba master na sebule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom