Mkonoo sehemu ganii??Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani.
Kina ukubwa wa Square meter 1080
kwa mawasiliano zaidi nipigie 0758666865
Noti ndefu kakaMkono vina upana na urefu wa 20 kwa 18 vina uzwa million 6 kwa kila kiwanja
Bei ya kiwanja ni million 18 boss amna udalali mim ndo mwenye kiwanja