Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni-Dege SQM 1045

The mgusi

JF-Expert Member
Feb 17, 2018
221
445
-Ukubwa wa kiwanja ni SQM 1045
- kiwanja ni Tambalale
-umbali kutoka Fery ni KM 21
  • umbali kutoka baharini ni km 3 na kutoka Main Road ni km 3
  • kiwanja kipo Mtaa wa Shirikisho
Document - serikali za Mitaa.
Contact for serious buyer 0692450861
Price : 12,000,000/= (Negotiable) .
 

Attachments

  • 20240922_150344.jpg
    20240922_150344.jpg
    2 MB · Views: 11
  • 20240922_105825.jpg
    20240922_105825.jpg
    717.3 KB · Views: 6
  • 20240922_105502.jpg
    20240922_105502.jpg
    1.5 MB · Views: 12
  • Screenshot_20221125-234749_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20221125-234749_Adobe Acrobat.jpg
    141.9 KB · Views: 4
Tatizo ni hizo nyaraka mkuu lakini eneo ni potential kinoma. Ukiweza kupimisha ukapata hati nakuhakikishia utauza kwa bei ya juu na kwa uhakika.​
 
Ndio uhalisia eneo likiwa limepimwa hata price yake ipo juu tofauti ya viwanja vya skwata.

Na viwanja vya skwata vina sifa ya kuwa na migogoro sana maana nyaraka za mauziano ya serikali ya mtaa ni rahisi kupatikana tofauti na hati miliki ya wizara.​
 
Na viwanja vya skwata vina sifa ya kuwa na migogoro sana maana nyaraka za mauziano ya serikali ya mtaa ni rahisi kupatikana tofauti na hati miliki ya wizara.​
Hata za wizara huwa zina migogoro pia.. unakuta eneo moja lina Hati 4. Muhimu ni kufanya search deed kabla hujanunua kiwanja vivyo hivyo hata vya skwata ambavyo asilimia nyingi za Watanzania tunamiliki kufanya upelelezi kwa majirani na serikali za mitaa au manispaa kuangalia eneo matumizi yake , kabla hujanunua kuepusha migogoro ya umiliki wa Ardhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom