Sep 11, 2024
33
46
Kiwanja kinauzwa goba tegeta "A" kwa bedui

Dakika 3 tuu kutoka kwa bedui center

Dakika 7 tuu mpaka goba centre

Dakika 10 tuu mpaka madale mwisho

Kiwanja kina sqm 700

Ni corner plot

Kina njia kubwa pande mbili

Eneo limejengeka vizuri sana

Kiwanja kinauzwa milioni 40 tuu....

☎️ +255 699 255 530

Karibuni sana

IMG_2258.jpeg
IMG_2257.jpeg
IMG_2256.jpeg
IMG_2255.jpeg
 
Hata kama huo ndio u bedui wenyewe hapana sio kwa hiyo bei
Kiongozi hii ni biashara huria..
Kuna viwanja mpaka vya laki moja...
Na kuna viwanja mpaka vya milioni 500 kwa size hiyo hiyoo...
Kwahivyo ni wewe mwenyewe uchaguzi wako...
Kwahiyo tuache ujuaji tuu kiongozi kwenye biashara ya mtu...
Biashara au kazi ni maisha ndugu yangu..
Usiweke maoni mabaya yanayoweza kuathiri biashara ya mtu kwasababu unakuwa unaharibu maisha ya mtu moja kwa moja...
Kama simu Iphone 16 promax inauzwa mpaka milioni 6 na tecno fulani hivi inauzwa laki na nusu
Maamuzi ni yako kiongozi ununue ipi
Tafadhari sana 🙏
 
Mkuu hizi dakika hapa ni kwa kutumia usafiri gani? Na speed ikiwa ngap kaka, swala la foleni je?

Kama kutoka kwa bedui mpaka Goba centre ni 7min ,naomba makadirio ya kutoka Kwa bedui mpaka ile njia panda ya Tegeta A usawa huu wa barabara ya madale

Hayo mengine nawaachia wanunuzi

Asante
 
Kinachonisikitisha na kuniumiza ni kuona mji mpya kama Goba serikali ilishindwa ku set standard na kuhakikisha maeneo yote yamepimwa na mji unajengwa kwa kufuata taratibu sahihi,

Badala yake Goba sasa imekuja kuwa uswahilini kwenye nyumba za kisure, yan inashangaza barabara nyingi za mitaa ni finyu nyingine hata magari hayapiti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom