Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi?

ni kuwa na uwezo wa kutafuta pesa.... kukidhi matakwa yako na ya familia yako.
kusimamisha uume na kuwa na

spirit ya kutoa m:saada kwa yNayowezekana.

izo ndio nguvu z kiume
 
Kiwango sahii (standard) cha nguvu za kiume ni ipi? Kwa maana kuwa wanaume inasemekana wana upungufu wa nguvu hizo na wengine inasemekana wanazo kiwango cha kupitiliza.

Ninawasilisha mjadala
Mm naona mpambanishe na mwanaume wako na mwanaume mwengine
Lakufanya unapo wapa Hiyo Fe uwe na stop watch kati ya hao atakaye tumia mda mwingi jua ana nguvu nyingi
NB USIWAPE AT THE SAME TIME
 
Back
Top Bottom