Kiwanda cha nyama ya Punda mjini Dodoma

Sidhan kama hawa wanyama ni wengi hivyo na kama wataendelea na kasi yao bila kuwa makini,
Na uchinjaji wa hawa wanyama
Watakuja kuwa kama Dodo,dragon , na wengineo ambao tunawaona kwenye picha tu
 
Naangalia Habari ITV naona Kiwanda cha Kuchinja punda Dodoma kilichokuwa kimefungwa sasa kimefunguliwa.
Kilichonishangaza ni malalamiko ya wafanyakazi wanalalamika kuwa idadi waliyoruhusiwa kuchinja kwa siku ni ndogo hivyo iongezwe hadi kufikia punda 60 kwa siku...Najiuliza hao punda wanaochinjwa nyama wanauzia wapi? Au ndo nyama choma tunayokula kwa Mfogo?
Mod saidieni kuweka full image..
 
Back
Top Bottom