Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,045
- 840
Sikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti.
Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni muda sahihi kufanya ulichokifanya?
Je, umetafakari maamuzi yako? Nini maana yake kwa wewe kuendelea kugombea?
Najiuliza Mh mwenyekiti ukifanikiwa kushinda nafasi ya uwenyekiti si itakubidi uombe ridhaa ya kugombea nafasi ya urais? Je, intelligencer imeona utatoshea kweli? Binafsi sioni kama italeta afya kwa Mh TAL atapaswa kuendelea kugombea nafasi ya urais kutokana na matokeo ambayo Moja kwa Moja yatamshushia point za kumfanya aendelee kuomba nafasi wa urais.
Na kama TAL atashinda basi Moja kwa Moja utakuwa umepoteza heshma ya uongozi kwa watu wako pia itapelekea kukigawa chama. Majela yatakuwa makubwa sana kuelekea 2025.