Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,514
- 2,544
Watu hawakushuhudia wakati ilikuwa mchana kweupe?
Nyumbani kwake aliondoka 11/12 saa 6 mchana, akapata ajali saa 7 mchana 12/12.. maiti ikafikishwa mwananyamala tarehe 11/12... nani anakumbuka story ya Mo kutekwaMtu mefariki Tarehe 12 mwananyamala walipokea mwili tarehe 11! Kazi tunayo
Kwanini mnaumiza vichwa? Huyo jamaa wanasema alikuwa "KITENGO" na baadae akaacha kazi ,hao watu ukiacha kazi inabidi ukimbie nchi kama alivyofanya chahali ,ukiacha na kuendelea kuishi nchi lazima hayo yatokee.Sakata la Ulomi linazidi kuleta taswira mpya kila siku, leo Kituo cha Afya Makuburi wanasema Ulomi aliletwa kituoni kwao na Askari, tushie lipi?
Kwahiyo ulitaka dokta asemeje?Imeisha hiyo....hii ndiyo Tanzania yetu ya sasa
Mwananyamala wanasema tarehe 11, makuburi tarehe 12, wewe unaonaje.Askari ndio wanawajibika kupeleka miili ya watu waliokufa hospitali kwani kuna ajabu gani hapo!?
Sipendi mapolisi mimiSalaam Wakuu,
Sakata la Ulomi linazidi kuleta taswira mpya kila siku, leo Kituo cha Afya Makuburi wanasema Ulomi aliletwa kituoni kwao na Askari, tushie lipi?
Someni wenyewe hapa chini sakata limeelezewa:
Kituo cha Afya cha Makuburi kilichopo Ubungo Jijini Dar es salaam kimesema Mfanyabiashara, Daisle Ulomi, alifikishwa kituoni hapo na Askari wa Kituo cha Polisi Makuburi ambao walimchukua eneo alipopatia ajali na kusema Ulomi alikuwa amevunjika mguu na mkono wa kushoto na pia alikuwa na majeraha kichwani huku pia ikihisiwa baadhi ya viungo vyake tumboni ikiwemo bandama na ini vilipasuka na kuvuja damu.
Akiongea kwenye mahojiano maalum na Mwandishi wa @AyoTV_, Bakari Chijumba kituoni hapo leo December 17,2024, Mganga Mfawidhi wa kituo hicho, Dkt. Alphoncina Mbinda, amesema “Tulimpokea majeruhi (Ulomi) December 12,2024 mchana kama saa 7:30, aliletwa na Askari tukampokea tukamuhudumia, alivunjika mguu na mkono wa kushoto, aliumia kwenye paji la uso, puani, tukamuhudumia, jitihada zilifanyika lakini Mgonjwa akaanza kuwa mweupe dalili kuwa ameishiwa damu, tuliona ana dalili za kuwa amepata majeruhi ya viungo vya tumboni inawezekana organs tumboni bandama au ini zilipasuka ndio maana akazidiwa kwa haraka baada ya muda mfupi akapoteza maisha”
“Muda ambao amehudumiwa ni kati ya saa saba (alipofikishwa) hadi saa nane ina maana saa moja haikufika tangu alipofika hadi kufariki, tulishaita Ambulance apewe rufaa kwenda Mwananyamala baada ya kufariki tukawaambia Ambulance wasije tena maana gari la kubebea Wagonjwa halibebi maiti, tukatoa taarifa kwa Askari waliotuletea wakaja wakashuhudia amefariki, tukawaomba Askari tusaidiane kupeleka Mwananyamala, tukashirikiana, tukaandaa mwili, tukatoa hela kama kituo kupeleka mwili Mwananyamala kwa gari binafsi ya kukodi, alienda pamoja na Askari”
“Taarifa tulizopewa ni kwamba alikuwa akiendesha pikipiki halafu kuna lori likatokea, wakagongana, pikipiki ikaumia yote na Mgonjwa palepale akapata majeruhi(ajali imetokea maeneo ya Mandela Road karibu na Gereji na Tabata Relini), baada ya hapo waliitwa Askari ndio wakamchukua na kumleta kituoni, tunaambiwa lori lilikuwa linatoka pembeni linaingia barabara kuu yeye alikuwa barabara kuu, taarifa zaidi za ajali muwasiliane na Polisi ambao walifika eneo la tukio, tulishindwa kujua Ndugu zake kwasababu hatukuona simu yake wala wallet wala document zozote kwenye nguo zake”
Millard Ayo
PIA SOMA
- TANZIA - Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala
- Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024
Mazoea ya polisi kusema uongo kwenye statements zao ndo haya yanayojiri kuwaumbuaSalaam Wakuu,

Inawezekana ilikuwa saa tano usiku na dk 59......kuelekea saa sita usiku tarehe mbili zinakutana hapoMwananyamala wanasema tarehe 11, makuburi tarehe 12, wewe unaonaje.
Eti, eee ocky. Kwa Tanzania ni kawaida. Hata hivyo damu ya watanzania sasa hivi ni rahisi kuliko maji ya kunywa.Inawezekana ilikuwa saa tano usiku na dk 59......kuelekea saa sita usiku tarehe mbili zinakutana hapo
Nikuulize wewe mkuu!Kwahiyo ulitaka dokta asemeje?
CrapNikuulize wewe mkuu!
Hayo maeneo si watu walikuwepo watasema kweli Kama Kuna mtu alishuhudia iyo ajaliHiki kitakuwa kifo cha ajali cha kwanza kutokea Dar es Salaam bila mashuhuda kuwepo hata mtu mmoja kwenye eneo ambalo huwezi kukosa mtu hata mmoja maeneo ya jirani
Kumbe!Kwanini mnaumiza vichwa? Huyo jamaa wanasema alikuwa "KITENGO" na baadae akaacha kazi ,hao watu ukiacha kazi inabidi ukimbie nchi kama alivyofanya chahali ,ukiacha na kuendelea kuishi nchi lazima hayo yatokee.
Kama yule Mzee J aliyekuwa akiishi Msasani aliyeuawa kiajabuajabu asubuhi akitoka misikitini kusaliKwanini mnaumiza vichwa? Huyo jamaa wanasema alikuwa "KITENGO" na baadae akaacha kazi ,hao watu ukiacha kazi inabidi ukimbie nchi kama alivyofanya chahali ,ukiacha na kuendelea kuishi nchi lazima hayo yatokee.