Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..

Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo

View attachment 2940746
Huyu ni mfano mdogo, wabunge hewa ni wengi tu. Mijadala kama hii itasaidia sana ku expose if mbunge ni wualified au anatembelea upepo wa rais
 
Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..

Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo

View attachment 2940746
Mrisho Gambo ninayemfahamu Mimi hajawahi kumiliki Akili labda awe ni Gambo Mrisho.
 
Back
Top Bottom