Kituko alichonifanyia wiki hii hakika amenichoka!

Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
Kwanza pole ,kifupi hapo huna kitu tena nazani hiyo ni mwanzo tu lkn kunakubwa kaja kikubwa
 
Jiulize mkuu na jitafakari kwanza je wewe umebadirika nn na wapi, kutakua na sababu ambayo ameona kwako, kama kipato kimeshuka na mama ni mpenda mapeni na mgum wa kuelewa itakua hivo.
Pili inawezekana amepata wa kumunogesha zaidi hivyo anaona wewe humfikishi kwenye point.
Ushauri wangu muchunguze taratibu mienendo yake na tabia zingine sio sex tu utagundua nn kinamsumbua. Ukimpiga chini uenda tatizo liko kwako utapiga chini wangapi?
Pole mkuu
 
Ahsante mkuu ushauri nimeupokea
 
Salaam wadau

Wadau mimi nina mke ambaye nilioa kwa sheria zote za kidini na tuna miaka kumi ndani ya ndoa yetu,hapo mwanzo ndoa yetu ilikuwa ya furaha na mapenzi lukuki

lakini ndani ya mwaka moja ndoa imeanza kulega mke ananuna bila ya sababu unyumba ni wa mashaka na nikipewa naambiwa fanya haraka umalize nataka kulala,

jamani hii ya juzi kati ndio ilikuwa funika na kudhihirishiwa mke amenichoka na hana mapenzi tena

kama mnavyojua ukishamaliza kula unyumba mke huwa na kitambaa na kumfuta mumewe na huku akimbembeleza kwa maneno matamu

balaa lililonikuta mimi nilipewa unyumba kwa masimango baada ya kumaliza kula unyumba mke nikamuuliza kuhusu kitambaa

Hakunijibu kitu alichofanya alifunua kitanda na kutoa jitambaa la dera la zamani akanitupia nijifute nami nikaanza kujifuta lakini ndani kama sekunde nikasikia nang'atwa kwenye uume

dah kushika ni sisimizi wale wenye vichwa vikubwa nikajikung'uta wakaisha nikalala kizazaa ilikuwa asubuhi uume una michanga aibu na lile tambara ni chafu hatari
jamani nilichoamua mimi nimuache sijui nyinyi waungwana mnashauri nini juu ya huyu mke

ushauri please kuna mapenzi tena hapo

ahsanteni
Hahahaaaaa mkuu ni takribani siku ya 3 leo nacheka kama mwendawazimu kila nikiikumbuka hii thread.

Huyo mkeo sio wa mchezomchezo,na kivutio zaidi ni namna ulivyosimulia,umenivunja mbavu sio kidogo.

Ni hayo tu mkuu
 
Ahsante mkuu nifah,kuta nne zinaficha mambo
 
Back
Top Bottom