aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 4,626
- 14,414
Kama uko serious hebu nauomba huo uchawi.Utaweza masharti ? Na je una moyo mgumu ?
Maana adabu kubwa ni damu yako
Achana na vitisho vya damu.
Kwani nipo hapa duniani kuishi milele?
Kama uko serious hebu nauomba huo uchawi.Utaweza masharti ? Na je una moyo mgumu ?
Maana adabu kubwa ni damu yako
Sio vitisho ni utaratibuKama uko serious hebu nauomba huo uchawi.
Achana na vitisho vya damu.
Kwani nipo hapa duniani kuishi milele?
Mkuu nipatie huo uchawi achana maelezo mengi.Sio vitisho ni utaratibu
Kwanza uchawi ni imani .
Unataka wa aina gani?
Na kwanini ?
Duhh ni hatari hii ni style mpya kabisa ya ichawi😂😂😂Ubungo Riverside usiku kwa macho yangu niliona mtu kasimama katikati ya Barabara asogei natokea njia ya Mwenge baada tu ya kijazi saa sita ama.saba hivi usiku, sikukwepa nikampitia... Nilinyooka moja kwa moja mpk kituo cha polisi external kujisalimisha.... Tulivyorudi eneo husika hakukuwa na hali yoyote ya uwepo wa ajali hata baada ya kuuliza waliokuwa maeneo yale... Mpaka leo hii siamini kilichotokea
Mkuu acha wizi sio mzuriMie niliamini wakati napiga kazi sehemu moja kipondi cha mishe mishe kazin kuna mtu tulikua tukipiga dili safi tu baadae akawa analetaa tamaaa yani hana siku hana mda hana day off mie nkajitenga alikua anaketa sana vimeo sikuwah waza in my life naweza fanyiwa michezo bwana yule jamaa sijui ndo msukuma sijui wakanda ya ziwa nilipigwa juju kila nkiingia ofisin sitak kufanya kazi ila akishaapaga nkasikia stori zake kwamba alishaapa kunifukuzisha kazi au afanye lolote nipate tabu basi ikawadia miziki ikaanza nilikua napata na kiwewe sio mchezo ile hali ikazaa depression nilikonda ghafla kula siwez even kukaa na watu kuongea nao cwez ilikua koment mbaya 2022 kuja 2023 lakini nilivuka salama. Ile hali iliduma almost 11 months ila nilisurvive japo kwa mbinde sana ckuwaza kuwah kwenda kwa mganga ila nilienda nahsi mshahara wa 2022 sikufanyia maendeleo yote zaid nkipata hela inaishia kwa waganga nijiponye fitna zipo ila kujipambania muhimu toka siku iyo sipigi ishu na waluga luga hata mtu awe faith vipi bora nijipigilia mwenyeqe nkinasa basi 40 yangu imekarbia
Uchawi upoNakumbuka nilikua arusha niko naelekea nyumbani moshi, kufika eneo la usa river pale darajani kwa chini kabla hujafika kona ya momella, mida ya saa moja usiku tu hivi, (maeneo ya rivertrees na arusha game lodge) nikawa naona gari mbele yangu inakuja speed kuja kama arusha/usa ikiwa side yangu imewasha full light,
Nikapagawa kama dereva nikasema labda ni mtu tu anaovertake atarudi side yake kushoto...lakini kushangaa naona bado gari hilo liko vile vivile upande wangu,
Nikaangalia kwa nyuma ya hilo gari kujihakikishia nikaona gari lingine ambalo. lilikua side yake kawaida.
Nikawaza moyoni nikasema hii ajali ya uso kwa uso no sweat hamna jinsi,
Hapo kumbuka nilikua speed so hayo yote yametokea ndani ya sekunde kadhaa tu,
Ebana ile kunifikia kama mbele hatua kumi uso kwa siku kitu kikaniambia usife leo jiteteee sijui nini kilishika ustelingi wa gari langu buana nikakata chap kulia ile gari ilipita hapo hapo chaaaap nilipotoka, sasa nikawa nipo side ya yule gari wa nyuma ya ile gari ambaye alikua side yake sahihi, (wrong side kwa upande wangu)
Bahati mzuri alikua kumbe ananiona ninavyohangaika barabarani akapungunguza mwendo,
Ndio pona yangu mana na yeye ningegongana nae uso kwa uso.
Kilichonichosha nikuwa aliniuliza vipi nini tatizo nikawamwambia ni lile gari nilokuwa mbele yake nilopita wrong side nilikua nakwepa,
Jamaa akaniambia mbele yake hakukuwa na gari lolote aloliona lililokuwa linatembea wrong side (side yangu).
Happ ndo nikakosa pumzi kukosa chakusema nakusema hakika uchawi upo
Thats was way back sa hv nshaokokaMkuu acha wizi sio mzuri
Pole SANAA mkuu tusimulie japo nasisi tujifunzeeHuyu Uzi unanikumbusha mbali sana tokea lile tukio la kuiba maparachichi usiku na maniga wangu!
Niliacha wizi kilichotupata hatutakaa tusahau!
Yule mzee lakini alishakufa
Kuna post hapo nyuma ngoja nijaribu kuku tag! Nikiona notification ya like nikadandia uziPole SANAA mkuu tusimulie japo nasisi tujifunzee
PowaaKuna post hapo nyuma ngoja nijaribu kuku tag! Nikiona notification ya like nikadandia uzi
DuuhKuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
😁😅😅mimi nilitongoza pisi kali TANGA barabara ya 11,nikaenda nae nyumba ya wageni,wakati namwingilia {tulikuwa tumezima taa} nikahisi harufu kali ya mbuzi na ikawa kama nimelalia sufi,nikachoma fasta kuwasha taa nikaona mbuzi kalala kitandani alaf nikasikia bonge la sonyo kutoka darin,nilivaa nguo suruali bila chupi nikatoka nduki kifua wazi!!.....kaunta alibaki kushangaa,mlinzi nae akabaki kunsema,,,hii ndo tanga bhana lazima "jamaa kakutana na kioja"