Kitu gani cha luxury umepanga kununua ukipata mkwanja?

Dah, mkuu mbona ni vijisenti tuu huyu?
Ukiwa na in come ya $500,000 kwa mwezi baaaaasi!!!!
dah kweli luxury ni relative. mi nawaza pair tatu za aviators ambazo hazifiki 1.5m we unawaza anasa ya zaidi ya sh 12bln kwa mwaka. angel Nyoni ana bei kali!!
 
range rover sport new model
98_rangeroversport.jpg
 
Nikipata hela nataka nikanunue feni kwa sababu langu limeharibika kabisaa na sasa hiv mjini hapa kuna joto kweli
 
mkuu hizo miwani zina nn cha ziada|| ufafanuzi
hazina cha ziada mkuu zaidi ya kuwa original. zinaitwa aviator sababu zinavaliwa sana na mapilot kuwakinga na jua huko angani. pia huwa na frame nzuri.
 
Kweli kupanga ni kuchagua.

Mi nataka kununua kisiwa na kujenga makazi yangu huko.
 
Mimi ugonjwa wangu mkubwa ni kuvaa,hivyo vitu vya designers vitanihusu.
Kuanzia nguo,handbags, viatu,hereni n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom