Kitendo cha watu kulia harusini, tatizo ni nini?

Mwanaume labda analia kwa kuona ndoto yake imetimia ya kumweka ndani uyo mrembo
Kama huyu ??? Mbona kama anaomba msaada??
stock-vector-dragged-to-alter-127865867.jpg
 
Wapo wanaolia kwa furaha, wengine kwa huzuni wa kuwa mbali na mpendwa au wapendwa wao na pia inawezekana ata bibi harusi analia kwa kufikria gegedo la daily
Wengi wanalia wakifikiria magumu waliyoyapitia kabla hawajaolewa, idadi ya waliomdanganya wakamkimbia, wangi wanalia wakifikiria waliyoyapitia kabla ya kukutana na ndoa.
 
Wewe unashangaa hayo?? Kuna watu wengine ni wakubwa tu serikalini lakini wanalia Kanisani
Unapenda kuchepuka sana katika Mada Mkuu! Tatizo huwa ni nini?.

Kasome mambo ya kuzingatia pindi mzungumzapo kuhusu mada yeyote na utajifunza jambo.
 
Back
Top Bottom