Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
812
513
Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo limefanyika Mei 03, 2024 Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.
 
Attachments

  • 20240503_184851.jpg
    20240503_184851.jpg
    134 KB · Views: 1
  • 20240503_184854.jpg
    20240503_184854.jpg
    143.3 KB · Views: 1
Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo limefanyika Mei 03, 2024 Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma.
Kitabu cha CCM wanapeana wanaccm.
 
Back
Top Bottom